Simba vs Yanga 05/11/23 mpira umeshaisha Yanga tumechukua points zetu 3 muhimu

Mechi wanacheza Waganga na vibuyu uwanjani wanaingia kuzuga tu.
 
Hee mmeshasahu ngao ya jamii.

Mmemsasau kibu D. Na zile chuma 2.

Mkitikisika tena mnakumbuka zile 5. [emoji23][emoji23][emoji23]. Subirieni trh 5 mle 5 nyingine.
 
Kibu MKANDAJI a.k.a MJAMPISHAJI anawazoom tu. Mjichanganye aje awajambishe tena.
 
Kocha wa yanga nasikia anajiandaa kwenda mazoezini kwa simba maana amehudhuria karibia mechi tano za simba ila hajafanikiwa kujua mfumo wa tactical master robertinyo ambao hata al ahly walipata tabu.

Mashabiki wa yanga wanaamini simba ni mbovu ila kocha hko avic town hapati usingizi yaani akilala anaiota simba na robertinyo hajawahi kutoa droo hata moja na yanga hata friends mechi.
 
Nikukumbushe tu kuwa hata ngao ya hisani uliichukua kabla ya mechi na ukalazimika kuirudisha kwa machozi baada ya mechi. Kwa hiyo hizi pointi 3 uliuzochukua kabla ya mechi utalazimika kuzirudisha baada ya mechi kwa aibu kubwa!! Nikuombe tu kuwa usiukimbie na kuutelekeza huu uzi wako mara baada ya mechi kama ambavyo umekuwa ukizikimbia nyuzi zako mwenyewe baada ya mechi!
 
Kwa hali ya sasa Yanga wanacheza vizuri na kwa kujiamini kupita Simba.

Simba inafungwa kalibu kila mechi.

Simba Golikipa bado ni changamoto.

Simba mabeki wanaruhusu Magoli kilahisi.

Simba wachezi wake wanacheza kistaa zaidi

Simba inafunga magoli machache sana (thank you Moses Phili kwa kutuokoa mechi za kalibuni)

Simba haina uhakika wa ushindi kwenye mechi zake

Simba morali ya kupambana kwa wachezaji iko chini.

Simba inafanya mabadiliko ya wachezaji kwa nadra sana.

Simba kwa sasa asilimia ya ushindi dhidi ya Yanga ipo chini.

Kwa washabiki wa ukweli wa Simba hiyo mechi tutaingalia kwa tahadhari na mashaka ya ushindi.

Yanga iko vizuri zaidi.
 
Hadi makipa wenu waje kufikia level ya Onana, tayari Yesu atakuwa amekuja kuwahukumu machawa wote
 
[emoji1787]Wabantu bana, yaani mila na desturi za chini ya miti hadi uwanjani kwenye shughuli ya kisayansi na ambayo haina kutegeana wala kufanya makosa?
Halafu tunataka kuwa mabingwa wa Africa[emoji1]
 
🤣🤣 utopolo mnategemea ulozi tutawapiga kama ngoma,,,tim ya kuifunga simba hapa africa bado bado
 
Msm uliopita uto walkuwa wanasema wako vzur,,na mayele alkuwepo ,,na kipa alkuwa huyo huyo na tulkuwa na majeruhi wengi mbona tuliwafunga,,hata ngao inonga hakuwepo still tulichukua
 
Wakati huo simba walikuwa wamelala eeh??MTAJUA HAMJUI SIKU HIYO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…