Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kocha wa yanga nasikia anajiandaa kwenda mazoezini kwa simba maana amehudhuria karibia mechi tano za simba ila hajafanikiwa kujua mfumo wa tactical master robertinyo ambao hata al ahly walipata tabu.Muda huu sisi wanayanga ndo tunatoka Uwanjani kukamilisha maagizo ya awali ambayo tumepewa na Mtaalamu wetu kuhusiana na match ya tarehe 5 Nov.
Match si ngumu kama ambavyo mmedhania. Maana tayari tumeshauziwa ramani. Tunajua wapi pa kupita. Tunajua wapi pa kupiga.
Kikosi cha Simba tumeshakivuruga na kuwafungia matofali miguuni. Na hili tulilifanya baada tu ya kuisha match ya Ihefu maana tuliendelea kubaki na Uwanja kuufanyia ukarabati. Na tayari wachezaji watatu wa Simba wana hati hati ya kucheza siku ya tukio.
Usiku wa deni haukawii kufika. Zimebaki siku kadhaa tu tuje kujipigia na kuchukua points zetu tatu kujishindilia pale kileleni. Na ndo hatutashuka tena. Piga ua garagaza.
Nlikuwa nje ya nchi. Nimerudi. Huyo insider ana kipi kipya?HV broo ulikwendaga wapi mbna sijakuona kwa kwa insider Man
Hadi makipa wenu waje kufikia level ya Onana, tayari Yesu atakuwa amekuja kuwahukumu machawa woteMuda huu sisi wanayanga ndo tunatoka Uwanjani kukamilisha maagizo ya awali ambayo tumepewa na Mtaalamu wetu kuhusiana na match ya tarehe 5 Nov.
Match si ngumu kama ambavyo mmedhania. Maana tayari tumeshauziwa ramani. Tunajua wapi pa kupita. Tunajua wapi pa kupiga.
Kikosi cha Simba tumeshakivuruga na kuwafungia matofali miguuni. Na hili tulilifanya baada tu ya kuisha match ya Ihefu maana tuliendelea kubaki na Uwanja kuufanyia ukarabati. Na tayari wachezaji watatu wa Simba wana hati hati ya kucheza siku ya tukio.
Usiku wa deni haukawii kufika. Zimebaki siku kadhaa tu tuje kujipigia na kuchukua points zetu tatu kujishindilia pale kileleni. Na ndo hatutashuka tena. Piga ua garagaza.
Kwanini tusifanye Simba anapiga mtu goli 3 au unaiogopa mno Simba???simba anafungwa nasio pungufu ya goli mbili.
Lakini ndo Aina ya washangiliaji tulionao. Mashabiki ni wachache.
Kwanini tusifanye Simba anapiga mtu goli 3 au unaiogopa mno Simba???
Halafu tunataka kuwa mabingwa wa Africa[emoji1][emoji1787]Wabantu bana, yaani mila na desturi za chini ya miti hadi uwanjani kwenye shughuli ya kisayansi na ambayo haina kutegeana wala kufanya makosa?
hatraari sana dahHalafu tunataka kuwa mabingwa wa Africa[emoji1]
🤣🤣 utopolo mnategemea ulozi tutawapiga kama ngoma,,,tim ya kuifunga simba hapa africa bado badoMuda huu sisi Wanayanga ndio tunatoka Uwanjani kukamilisha maagizo ya awali ambayo tumepewa na mtaalamu wetu kuhusiana na mechi ya tarehe 5 Nov.
Mechi si ngumu kama ambavyo mmedhania. Maana tayari tumeshauziwa ramani. Tunajua wapi pa kupita, tunajua wapi pa kupiga.
Kikosi cha Simba tumeshakivuruga na kuwafungia matofali miguuni, na hili tulilifanya baada tu ya kuisha mechi ya Ihefu. Maana tuliendelea kubaki na Uwanja kuufanyia ukarabati na tayari wachezaji watatu wa Simba wana hati hati ya kucheza siku ya tukio.
Usiku wa deni haukawii kufika. Zimebaki siku kadhaa tu tuje kujipigia na kuchukua points zetu tatu kujishindilia pale kileleni na ndio hatutashuka tena, piga ua garagaza.
Msm uliopita uto walkuwa wanasema wako vzur,,na mayele alkuwepo ,,na kipa alkuwa huyo huyo na tulkuwa na majeruhi wengi mbona tuliwafunga,,hata ngao inonga hakuwepo still tulichukuaKwa hali ya sasa Yanga wanacheza vizuri na kwa kujiamini kupita Simba.
Simba inafungwa kalibu kila mechi.
Simba Golikipa bado ni changamoto.
Simba mabeki wanaruhusu Magoli kilahisi.
Simba wachezi wake wanacheza kistaa zaidi
Simba inafunga magoli machache sana (thank you Moses Phili kwa kutuokoa mechi za kalibuni)
Simba haina uhakika wa ushindi kwenye mechi zake
Simba morali ya kupambana kwa wachezaji iko chini.
Simba inafanya mabadiliko ya wachezaji kwa nadra sana.
Simba kwa sasa asilimia ya ushindi dhidi ya Yanga ipo chini.
Kwa washabiki wa ukweli wa Simba hiyo mechi tutaingalia kwa tahadhari na mashaka ya ushindi.
Yanga iko vizuri zaidi.