Simba vs Yanga 05/11/23 mpira umeshaisha Yanga tumechukua points zetu 3 muhimu

Simba vs Yanga 05/11/23 mpira umeshaisha Yanga tumechukua points zetu 3 muhimu

Muda huu sisi Wanayanga ndio tunatoka Uwanjani kukamilisha maagizo ya awali ambayo tumepewa na mtaalamu wetu kuhusiana na mechi ya tarehe 5 Nov.

Mechi si ngumu kama ambavyo mmedhania. Maana tayari tumeshauziwa ramani. Tunajua wapi pa kupita, tunajua wapi pa kupiga.

Kikosi cha Simba tumeshakivuruga na kuwafungia matofali miguuni, na hili tulilifanya baada tu ya kuisha mechi ya Ihefu. Maana tuliendelea kubaki na Uwanja kuufanyia ukarabati na tayari wachezaji watatu wa Simba wana hati hati ya kucheza siku ya tukio.

Usiku wa deni haukawii kufika. Zimebaki siku kadhaa tu tuje kujipigia na kuchukua points zetu tatu kujishindilia pale kileleni na ndio hatutashuka tena, piga ua garagaza.
Chizi kama chizi namaanisha Chizi Maarifa 😊☺️🤓🤣🤣😂
 
KUHUSU MO KUTEUA KAMATI YA USHAURI.

HII YOTE NI AFRICAN SOCER SHOW
MPIRA WETU KIVYETU VYETU.

hawa wazee watakuwa na maamuzi makubwa , Watapiga sana pesa. Na hakuna timu itafanikiwa dhidi simba mbaka uchaguzi ujao.

1. Tuseme tu ukweli simba ikiwa pamoja hakuna timu inaweza ikapata hata sare kwa mkapa.
Eg RAJA na Alhly

2. Ogopa sana KAULI MBIU YA NGUVU MOJA.

3. Mo ameona matokeo si mazuri ndani na nje ya Klub mambo hayaendi kabisa (kukosa ubingwa 2 years)

4. Haya majeraha ya mala kwa mala ya wachezaji muhimu Manula Inonga, phiri aubin Kramo si kitu cha kawaida (gizani).

5.Sajili mbovu na kufungwa giza kwa Baadhi ya wachezaji.
Ayoub,Kramo,Saido,Miqui nk.

6. Baadhi ya wazee wanavyoamini wao wanasema wamepeleka mpira wa simba jangwanj kwasababu ya majeraha ya vyeo na makovu ya chaguzi.

Kama hawa wazee wote walioteuliwa wakikubaliana NGUVU MOJA.
Kila kitu simba kitakwenda sawa yatarudi yale ya Ubingwa mala 4 mfululizo.
Itarudi simba ya Biriani na lunyasi.

TUTEGEMEE SIMBA YENYE MAFANIKIO ZAIDI.
Quote
 
Back
Top Bottom