Simba Vs Yanga (1-0) | Shirikisho | Lake Tanganyika. Simba yatwaa ubingwa ASFC

Simba Vs Yanga (1-0) | Shirikisho | Lake Tanganyika. Simba yatwaa ubingwa ASFC

Yanga hata wakipigwa washapata kitu cha kujitetea. Lawama zitaanza kwa refa kisha kwa tff. Tonombe pamoja na kumpiga aure biy hatalaumiwa.
Jumba bovu wanaangushiwa refarii na tff.[emoji16][emoji16]
Huna timu ya kuifunga Yanga.
 
Hapa Morrison kaingia refa awape tuta tumalize mpira tukalale.
 
Back
Top Bottom