OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Namna gani pale Luis
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NtarudiTukatatue mshono pale pale tulipoishia kwa Mkapa tunaendelea.
Young Africans na imani tunaenda kupata matokeo ya ushindi.
Kila la kheri Young Africans na fans wote popote mlipo.
Kwa kumnyima Simba penati 2Refa ameshaharibu mpira huu tayari
[emoji16][emoji16]yani me nimeanza kuogopa tulipopewa nyekundu hapa nimekaa kimya naomba mungu tuuYanga wenzangu, hivi mzee mpili anacheza namba ngapi vile?
Siwezi kushabikia Simba, mpaka nakufa.Umehama simba lini??? We si mkia lialia тo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nashangaa simba kama hawalioni hilo. Wanacheza makoso ya kizembe kama kadi ya Onyango ni upumbavu kabisa.Kwa refa huyu anavyochezesha, tutarajie kadi nyekundu pia kwa Simba
Vipi umeiona alichokifanya Onyango.........sasa jiulize kina tofauti gani na Mukoko........Mkuu, for once weka ushabiki pembeni. Game upande wa ipendeleo imeelemea kwa yanga licha ya kadi nyekundu
Refa ni wenu huyo.Acha ushabiki usio na tija, faulo alizochezewa boko na mukoko ambazo alistahili kuwajibishwa kabla ya red card unakumbuka ni ngapi?
Mbona hukujitokeza kusema refa anaibeba yanga?
Toa weweRefa atoe red kwa Simba pia game ibalance basi