Hawawezi ifunga yanga bila figisu figusiWatu wako punguf na bado mnashindwa kufunga..is use.nge huu timu yangu
Tulia dawa ukuingie, hiyo ni timu ya Wananchi, na mimi ni mwananchi, tena mzalendo kwenye Taifa langu.Nenda jukwaa la siasa, michezo tuachie wanamichezo,
Usiogope mrembo, hawa mikia tuna wakazia mpaka kwenye matuta, kitacho wakuta watajuta.[emoji16][emoji16]yani me nimeanza kuogopa tulipopewa nyekundu hapa nimekaa kimya naomba mungu tuu
Refa ni mali yao.Mbona babu Onyango hajapewa Nyekundu.
Refa tena mkuuSub ya Yanga refa wetu kachemka, toa Nchimbi weka Kaseke, mbele asimame Yacouba.
Nimechanganya mafaili.Refa tena mkuu
Nafsi yangu imetulia sasa.Gooooooooooooooo