Simba Vs Yanga (1-0) | Shirikisho | Lake Tanganyika. Simba yatwaa ubingwa ASFC

Simba Vs Yanga (1-0) | Shirikisho | Lake Tanganyika. Simba yatwaa ubingwa ASFC

Mzee mpili atakuny##a leo
Chezea Wana msimbaziiiiii...
Simba hoyeeeeeeeeee.....
Kunyweni bia Mimi nipo nyie mtalipa....
 
Hii game refa kazi yake ilikuwa ni moja tu, kutoa kadi nyekundu kwa Yanga na kuwaachia mchezo simba,
Refa kamaliza jukumu lake tayari
On a serious note mkuu, kwa kile kitendo cha Mukoko kweli ulitegemea refa amuache mkuu? Tuweke ushabiki pembeni for once, ile kadi ya Mukoko was straight red card. Labda uongelee mambo mengine.
 
Hii game refa kazi yake ilikuwa ni moja tu, kutoa kadi nyekundu kwa Yanga na kuwaachia mchezo simba,
Refa kamaliza jukumu lake tayari
Pongezi kwake,amejiongezea nyongeza ya mishahara,hajasubiria serikali
 
Back
Top Bottom