herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,967
- 3,212
🤣🤣🤣tunakesi na Morison kwanza hayo mengine yatafuatiaNannyie mkamalizane na aliye waambia kua msipochukua ubingwa mkamuulize
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣tunakesi na Morison kwanza hayo mengine yatafuatiaNannyie mkamalizane na aliye waambia kua msipochukua ubingwa mkamuulize
Game ya fainali unatoa straight red card, referee kaharibu game mapema sana, Simba bila makandokando huwa Hamuwezi kutufungaOn a serious note mkuu, kwa kile kitendo cha Mukoko kweli ulitegemea refa amuache mkuu? Tuweke ushabiki pembeni for once, ile kadi ya Mukoko was straight red card. Labda uongelee mambo mengine.
mkuu ule Uzi wako wa ndoto naona umetimia nashauri ujiite nabii ufungue kanisa upige pesa ununue rolls loyce a.k.a rozi rozi au vieiteeee!Hii game refa kazi yake ilikuwa ni moja tu, kutoa kadi nyekundu kwa Yanga na kuwaachia mchezo simba,
Refa kamaliza jukumu lake tayari
Ndo maana imecheleweshwa, ilikuwa iishe dk ya 13Hiyo game ya maelekezo mzee
Simba bila makando kando hawajawahi kutufunga na ndio kilichofanyika kutupunguza uwanjani na watutoe kimchezoPongezi kwake,amejiongezea nyongeza ya mishahara,hajasubiria serikali
...nidhamu ya michezo ni muhimu.Qmmk Yanga wote
Mzee baba hii game niliiona ndotoni na isingekuwa kupunguza mtu mmoja upande wa Yanga hii game ilikuwa Inaisha sare ila ndo hivyo refa kazingua yaani game ya fainali utoa straight red cardmkuu ule Uzi wako wa ndoto naona umetimia nashauri ujiite nabii ufungue kanisa upige pesa ununue rolls loyce a.k.a rozi rozi au vieiteeee!
Mkokoteni wenu ndiyo kisingizio chenu... Daaadek!!!!No.. . Mukoko anahusika