Simba Vs Yanga (1-0) | Shirikisho | Lake Tanganyika. Simba yatwaa ubingwa ASFC

Simba Vs Yanga (1-0) | Shirikisho | Lake Tanganyika. Simba yatwaa ubingwa ASFC

[emoji28][emoji28]
IMG-20150308-WA0018.jpg
 
On a serious note mkuu, kwa kile kitendo cha Mukoko kweli ulitegemea refa amuache mkuu? Tuweke ushabiki pembeni for once, ile kadi ya Mukoko was straight red card. Labda uongelee mambo mengine.
Game ya fainali unatoa straight red card, referee kaharibu game mapema sana, Simba bila makandokando huwa Hamuwezi kutufunga
 
Hii game refa kazi yake ilikuwa ni moja tu, kutoa kadi nyekundu kwa Yanga na kuwaachia mchezo simba,
Refa kamaliza jukumu lake tayari
mkuu ule Uzi wako wa ndoto naona umetimia nashauri ujiite nabii ufungue kanisa upige pesa ununue rolls loyce a.k.a rozi rozi au vieiteeee!
 
mkuu ule Uzi wako wa ndoto naona umetimia nashauri ujiite nabii ufungue kanisa upige pesa ununue rolls loyce a.k.a rozi rozi au vieiteeee!
Mzee baba hii game niliiona ndotoni na isingekuwa kupunguza mtu mmoja upande wa Yanga hii game ilikuwa Inaisha sare ila ndo hivyo refa kazingua yaani game ya fainali utoa straight red card
 
Back
Top Bottom