Simba Vs Yanga (1-0) | Shirikisho | Lake Tanganyika. Simba yatwaa ubingwa ASFC

Simba Vs Yanga (1-0) | Shirikisho | Lake Tanganyika. Simba yatwaa ubingwa ASFC

Niliota jamani nikatabili humu na kweli imetokea Ee Mungu asante sana[emoji120][emoji120]
Screenshot_20210725-182506.jpg
 
Kwa hiyo mkuu game za fainali huwa marefa hawatoi straight red cards?
Duuuhhh.
Lalamika kwa mengine mkuu, ila sio ile red card.
Simba bila makandokando hajawahi kutufunga, haiwezi kutokea hata siku moja, na ndio maana hiyo Redcard ilikuwa na kwenye mpango muda mrefu sana
 
Refa ndo yule yule tuliyemkataaa, TFF hawakuweza kumbadilisha kwasababu tayar alikuwa ana maelekezo ya mojamoja, how comes Referee unachezesha Quater, semi, na final ya timu moja
Bila makando makando mikia hamna kitu,but heshima wanayo now,Yanga pungufu wamefungwa kwa mbinde,hii game walikua hawatoki mikia wamshukuru refa
 
Back
Top Bottom