Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,472
- 6,391
Simba muda mrefu sana bila makandokando hawawezi kutufunga na hilo mnalijua hakuna game tulio kamili mlitufungaKwahiyo ulitaka mtu acheze kihuni tu halafu refa amchekee? Hebu tumia akili basi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba muda mrefu sana bila makandokando hawawezi kutufunga na hilo mnalijua hakuna game tulio kamili mlitufungaKwahiyo ulitaka mtu acheze kihuni tu halafu refa amchekee? Hebu tumia akili basi.
🤣🤣🤣Kamoja tu..?Ushindi raha hasa kuwafunga Yanga.
Game ya fainali unatoa straight red card, referee kaharibu game mapema sana, Simba bila makandokando huwa Hamuwezi kutufunga
Bila makandokando simba hawajawahi kutufungaMlaumuni mkokoteni wenu ...kenchy type
Naona uchawi wa mzee mpili umeshindwa kuvuka mikoa unafanya kazi Dar tu.Simba muda mrefu sana bila makandokando hawawezi kutufunga na hilo mnalijua hakuna game tulio kamili mlitufunga
Amini hilo mkuu, bila makandokando simba hawawezi kutufunga hata siku moja na ndio yakatokea maelekezo ya sisi Kuchezeshwa pungufuBila makando makando mikia hamna kitu,but heshima wanayo now,Yanga pungufu wamefungwa kwa mbinde,hii game walikua hawatoki mikia wamshukuru refa
Basi nendeni Nkasi kushitaki wazee wa kulilia makombe ya kesi kesiRefa ndo yule yule tuliyemkataaa, TFF hawakuweza kumbadilisha kwasababu tayar alikuwa ana maelekezo ya mojamoja, how comes Referee unachezesha Quater, semi, na final ya timu moja
Kajamba akiwa amevaa chupi ya mpira matokeo yake hewa imejaa nyuma.Kwani Mzee mpili anasemaje?
Pole sanaSimba bado wagumu kubinua ta.ko wadungwe!
Sawa mkuu, Mbwa mweusi wewe na bila makandokando hamjawahi kutoka kwenye game yeyote ileMakando gani wewe kenge MWEUSI. Inamaana kama game ni fainali watu wacheze kwa wanavyotaka ili game isiharibike ? Kuwa na akili mzee ;
Na huyo aliyepewa red card alifanya nini cha maana daki 40; kama kweli alikuwa ni wa muhimu mngekuwa mmeshashinda dakika zote alizocheza.
Shida yenu hamjazoea international game : ndio maana ni VURUGU tu mnataka kumuua kabisa Luis, Dah ! Na mkicheza hivyo klabu bingwa Africa hamtofika mbali.
Mpira ni ushindi, kosa moja goli moja.
Mnaenda kusajili wahuni Halafu mnataka matokeo
Imekuingia hebu ichomoeSimba bila makandokando hajawahi kutufunga, haiwezi kutokea hata siku moja, na ndio maana hiyo Redcard ilikuwa na kwenye mpango muda mrefu sana
Simba bila maelekezo na makandokando hamjawahi kutoka mkuu, game ingechezwa fairly kama ya Taifa msingetokaNaona uchawi wa mzee mpili umeshindwa kuvuka mikoa unafanya kazi Dar tu.
Sawa mkuu, mpira wa maelekezo na makandokando hamjawahi kutufunga hata huko kimataifa ndo ushindi wenu wa makandokandoBasi nendeni Nkasi kushitaki wazee wa kulilia makombe ya kesi kesi
Simba bila maelekezo na makandokando hamjawahi kutoka mkuu, game ingechezwa fairly kama ya Taifa msingetoka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kamoja tu..?