Simba Vs Yanga (1-0) | Shirikisho | Lake Tanganyika. Simba yatwaa ubingwa ASFC

Simba Vs Yanga (1-0) | Shirikisho | Lake Tanganyika. Simba yatwaa ubingwa ASFC

Tumesha kufi .....mbona tayari au ww ni shoga mzoefu umezoaea kuanzia bao tatu ama....zile tano unazitaka tena subiri ngao ya jamii nitakumwagia tano shoga zoefu[emoji39][emoji39]
Ww huwa sifanyi conversations na Mapunga mimi, katafute Mapunga wenzako
 
Kama kubebwa wameshabebwa tayari! Hata tukibishana haisaidii chochote, ilikuwa kadi ya njano, yeye mwamuzi kakurupuka na kadi nyekundu, mikia bwana kuifunga yanga mpaka msaidiane na mwamuzi pamoja na TFF?
 
Nawapongeza yanga kwa kucheza pungufu lakini wakiwa tishio. Sio mbaya, kuna siku kutakuwa na tff nyingine.
 
Me mech yangu iliiisha toka kipindi cha kwanzaaa... Mpira uliishia kwa mukoko...!!
 
Makando gani wewe kenge MWEUSI. Inamaana kama game ni fainali watu wacheze kwa wanavyotaka ili game isiharibike ? Kuwa na akili mzee ;

Na huyo aliyepewa red card alifanya nini cha maana daki 40; kama kweli alikuwa ni wa muhimu mngekuwa mmeshashinda dakika zote alizocheza.

Shida yenu hamjazoea international game : ndio maana ni VURUGU tu mnataka kumuua kabisa Luis, Dah ! Na mkicheza hivyo klabu bingwa Africa hamtofika mbali.

Mpira ni ushindi, kosa moja goli moja.
Mnaenda kusajili wahuni Halafu mnataka matokeo
Mimi simjui jina ila mchezaji wao mmoja yule hajasuka wala kufuga nywele

Ana temper mbovu mno
 
Kama kubebwa wameshabebwa tayari! Hata tukibishana haisaidii chochote, ilikuwa kadi ya njano, yeye mwamuzi kakurupuka na kadi nyekundu, mikia bwana kuifunga yanga mpaka msaidiane na mwamuzi pamoja na TFF?
Huyo mwamuzi wao huyo tangu robo nusu na huko kigoma .wamebebwa tu mikia mbumbumbu fc hawana lolote
 
Amini hilo mkuu, bila makandokando simba hawawezi kutufunga hata siku moja na ndio yakatokea maelekezo ya sisi Kuchezeshwa pungufu
Acha ushabiki mandazi,mtu kacheza rafu isiyo na sababu halafu asipewe kadi ulitaka apewe chapati!
Mwambie mzee mpili awafundishe vijana nidhamu ya uwanjani. Waache kucheza faulo zisizo na ulazima.
 
Acha ushabiki mandazi,mtu kacheza rafu isiyo na sababu halafu asipewe kadi ulitaka apewe chapati!
Mwambie mzee mpili awafundishe vijana nidhamu ya uwanjani. Waache kucheza faulo zisizo na ulazima.
Ww Nenda kaongee na Mapunga wenzako
 
Nawapongeza yanga kwa kucheza pungufu lakini wakiwa tishio. Sio mbaya, kuna siku kutakuwa na tff nyingine.
Kucheza pungufu isiwe kisingizio topolos.

Mwaka ule Mkude alipewa red mkiwa goli moja mbele tena la mkono la Tambwe na bado mkafungwa 2-1
 
Back
Top Bottom