barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Mzee mpili anasemaje wakuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi kuchafua threads za watu kila mahali. Simba ndiye bingwa, kajinyonge sasa.Game fairly simba hajawahi kushinda ila ushindi wenu ni wa makandokando na maelekezo sana
Kuna watu wanasingizia eti walikua pungufu 😀😀Simba bila makando kando hawajawahi kutufunga na ndio kilichofanyika kutupunguza uwanjani na watutoe kimchezo
Kuna watu wanasingizia eti walikua pungufu 😀😀Refa ndo yule yule tuliyemkataaa, TFF hawakuweza kumbadilisha kwasababu tayar alikuwa ana maelekezo ya mojamoja, how comes Referee unachezesha Quater, semi, na final ya timu moja
Kuna watu wanasingizia eti walikua pungufu 😀😀Bila makandokando simba hawajawahi kutufunga
Simba washazoea Ubingwa. Yanga walipanga watembeze kombe nchi nzima.🤣🤣🤣🤣Sherehe zenyewe hazijanoga, utafikili hakuna ubingwa bhana
Unawafahamu Nguruwe? Wanaweza piga kamoja watoto hao.... Au huwa unadhani mapacha inatokana na kupiga baos nyingi?🤣🤣🤣Kamoja tu..?
Mzee mpili anasemaje wakuu?
Ile game kuna wachezaji wetu walifanya biashara mapema, Tshishimbi, na wajinga wengine tuliwatoa ndo waliuza game ile, Inshort bila makandokando huwa hamtoki
Sawa mbeleko FC, timu ya maelekezo na makandokandoMwaka 2005 fainal ya tusker na 2006 fainali ya kagame cup, Simba ilikuwa pungufu mechi zote lakini alishinda 2:0.
Upungufu siyo inshu.
Na isiwe kisingizio
Sawa timu ya maelekezo na makandokandoKuna watu wanasingizia eti walikua pungufu 😀😀
Simba v yanga 2005
Final tusker cup
Victor Costa red card dk ya 38
Mwisho wa game simba 2 -0 yanga
Simba v yanga 2006
Morogoro
Henry Joseph red card dk ya 10
Mwisho wa game simba 1-0 yanga
Mwaka 2017
Simba v yanga
Mkude red card dk ya 28
Mwisho wa game 1-1
Mwaka 2017 tena
Simba v yanga
Bukungu redcar dk ya 59
Mwisho wa game simba 2-1 yanga
Mpaka hapo tuelewane redcard sio kisingizio
Na kwa mpira wa vipesi
Sawa timu ya maelekezo na makandokando fcKuna watu wanasingizia eti walikua pungufu 😀😀
Simba v yanga 2005
Final tusker cup
Victor Costa red card dk ya 38
Mwisho wa game simba 2 -0 yanga
Simba v yanga 2006
Morogoro
Henry Joseph red card dk ya 10
Mwisho wa game simba 1-0 yanga
Mwaka 2017
Simba v yanga
Mkude red card dk ya 28
Mwisho wa game 1-1
Mwaka 2017 tena
Simba v yanga
Bukungu redcar dk ya 59
Mwisho wa game simba 2-1 yanga
Mpaka hapo tuelewane redcard sio kisingizio
Na kwa mpira wa vipesi
Ili uifunge yanga,lazima mchezaji mmoja umpunguze kwa hiraaa[emoji23][emoji23][emoji23] pamoja nakuwa pungufu kikosi kipana kimehaha na kupotezapoteza mda!!!
Una miaka mingapi mkuu katika tasnia ya kufuatilia soccerMzee baba hii game niliiona ndotoni na isingekuwa kupunguza mtu mmoja upande wa Yanga hii game ilikuwa Inaisha sare ila ndo hivyo refa kazingua yaani game ya fainali utoa straight red card
Sawa timu ya maelekezo na makandokando, bila hivyo hakuna kituKuna watu wanasingizia eti walikua pungufu [emoji3][emoji3]
Simba v yanga 2005
Final tusker cup
Victor Costa red card dk ya 38
Mwisho wa game simba 2 -0 yanga
Simba v yanga 2006
Morogoro
Henry Joseph red card dk ya 10
Mwisho wa game simba 1-0 yanga
Mwaka 2017
Simba v yanga
Mkude red card dk ya 28
Mwisho wa game 1-1
Mwaka 2017 tena
Simba v yanga
Bukungu redcar dk ya 59
Mwisho wa game simba 2-1 yanga
Mpaka hapo tuelewane redcard sio kisingizio
Mukoko naye kafanya biashara??Ile game kuna wachezaji wetu walifanya biashara mapema, Tshishimbi, na wajinga wengine tuliwatoa ndo waliuza game ile, Inshort bila makandokando huwa hamtoki