Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa timu ya maelekezo na makandokando fc
Kapitiliza hadi BurundiMzee mpili anasemaje wakuu?
Na ww kamzomee Bwana wako anae ku*******f****i*****ra*****ga
chuki mchukie Lwanga,sie unatuonea tuNa ww kamzomee Bwana wako anae ku*******f****i*****ra*****ga
Mukoko kaonewa??Referee ndo kafanya biashara
Migebuka ndio kitu gani bwashee?Je, unahitaji migebuka agiza Yanga waje nayo kesho
Kuna watu wanasingizia eti walikua pungufu 😀😀Ili uifunge yanga,lazima mchezaji mmoja umpunguze kwa hiraaa😂😂😂 pamoja nakuwa pungufu kikosi kipana kimehaha na kupotezapoteza mda!!!
Huyu hapaKuna mzee aliyejizolea umaarufu mwezi huu leo anageuka kuwa tapeli maarufu
Kigoma hamnaga warembo kama hao, nadhani wametoka chuga haoMkokoteni wenu ndiyo kisingizio chenu... Daaadek!!!!
Hivi bwashee uliliona lile goli au hukuliona nikutumie clip?Simba bila makandokando hajawahi kutufunga, haiwezi kutokea hata siku moja, na ndio maana hiyo Redcard ilikuwa na kwenye mpango muda mrefu sana
Ushindi wa bila makandokando ni ule wanaume tunafungana tukiwa tumetimia wote uwanjaniHivi bwashee uliliona lile goli au hukuliona nikutumie clip?
Lile sio goli la kupewa kabisa, hebu uone aibu kutangaza kwamba ushindi wa "#nguvu moja"# ulikuwa ni ushindi wa kupangwa, Wewe huoni hata babu yako mpili amesepa kimya kimya maana yake kakubali kushindwa na mnyama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Wanaume ni wanaocheza mpira,sio wanao pigana.Ushindi wa bila makandokando ni ule wanaume tunafungana tukiwa tumetimia wote uwanjani
Ushindi wa bila makandokando ni ule wanaume tunafungana tukiwa tumetimia wote uwanjani
SawaWewe uliyezaliwa miaka ya 2000s huwezi elewa hizi kumbukumbu. Ngoja nikupe Darsa.
Simba v yanga 2005
Final tusker cup
Victor Costa red card dk ya 38
Mwisho wa game simba 2 -0 yanga
Simba v yanga 2006
Morogoro
Henry Joseph red card dk ya 10
Mwisho wa game simba 1-0 yanga
Mwaka 2017
Simba v yanga
Mkude red card dk ya 28
Mwisho wa game 1-1
Mwaka 2017 tena
Simba v yanga
Bukungu redcar dk ya 59
Mwisho wa game simba 2-1 yanga
Mpaka hapo tuelewane redcard sio kisingizio
Mchague. Kucheza kung fu au football. Mwaka huu tena mnabebwa na Simba michezo ya Kimataifa.
Sawa MamaWanaume ni wanaocheza mpira,sio wanao pigana.
Sawa mamaEndeleeni kubeba wanaume... Muone tutakachokuwa tunawafanya...
View attachment 1868773