Simba Vs Yanga (1-0) | Shirikisho | Lake Tanganyika. Simba yatwaa ubingwa ASFC

Simba Vs Yanga (1-0) | Shirikisho | Lake Tanganyika. Simba yatwaa ubingwa ASFC

Ndo maana imecheleweshwa, ilikuwa iishe dk ya 13
Hii ilikuwa game ya maelekezo mzee, kwenye game madhambi hayaepukiki ila ndo hivyo, game fainal unatoa straight red card, maana yake unaimaliza game halafu unawaachia wachezaji
 
Hii game refa kazi yake ilikuwa ni moja tu, kutoa kadi nyekundu kwa Yanga na kuwaachia mchezo simba,
Refa kamaliza jukumu lake tayari
Refarii wa kwanza mlimkataa!!! Huyu alikuwa upande wenu....
 
Back
Top Bottom