Uwanja haupo sawa.Halafu huu uwanja vipimo vimetimia kweli?
Refa ni wakwenu nyinyi huyoUstaarabu wa simba ufike mwisho ni wakati sasa wa Kuanza kutisha marefa
Kuna muda alimpiga teke tumboniKampiga Bocco kiwiko kwa makusudi kabisaa
Kapewa haki yakeKuna muda alimpiga teke tumbon
Refa akapeta
Ni halali sio halali?jamaa alitabiri kadi nyekundu kwa Yanga