barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Yanga wanajua siasa za mpira. Refa anaogopa kufanya maamuzi dhidi yao sababu itaonekana yanga walikua sahihi imeishia anawapendeleaHuyu ndiye refa aliyekataliwa na Yanga au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga wanajua siasa za mpira. Refa anaogopa kufanya maamuzi dhidi yao sababu itaonekana yanga walikua sahihi imeishia anawapendeleaHuyu ndiye refa aliyekataliwa na Yanga au?
KabisaHuu uwanja unanyima radha ya mpira kabisa, yani mpira hautulii kabsa chini
TFF waweke utaratibu timu ikitoa madai officially kumkataa refa, ipigwe faini mil 15. Kinachoonekana hapa refa ameogopeshwa kwa madai yale ya Yanga.ajabu anawabeba
Uwanja wa hovyo kwa SimbaGame haijatulia kabisa
Hovyo kabisa Bora nikate ngeti zangu mtanipa matokeoGame haijatulia kabisa
Haina ladhaGame haijatulia kabisa
Ndo kinachoonekana. Jambo hili liwekewe utaratibu.Yanga wanajua siasa za mpira. Refa anaogopa kufanya maamuzi dhidi yao sababu itaonekana yanga walikua sahihi imeishia anawapendelea
Mpira haujagusa mkono.Daah huyu refaaa maa weeee hii mtu kanawa mpira duuh refa anapeta duuh
Hata VAR ingeamua vle refa alivyoamua.Walioamua VAR walikosa uvumilivu. Upuuzi huu