Simba Vs Yanga (1-0) | Shirikisho | Lake Tanganyika. Simba yatwaa ubingwa ASFC

Nyie mnaoangalia Ligi kuu Marefa walianza lini kuvuruga.

Mimi nimezoea kimataifa. Yoyote inayoenda kimataifa ninayo iwe Simba au Yanga. Zikikutana Ligi kuu nafavor asiye na kelele kabla ya kukutana iwe simba au Yanga. Leo nipo Yanga.

Marefa walianza lini duh!
 
Simba wamenyimwa Penalt halali kabisa, kadi ya niano kwa Chama sio halali
Na uwanja mbovu kabisa,
Refarii yupo upande wa Yanga
Ubaya ni kwamba hautaweza kupata refa ambaye si mshabiki wa team yoyote Kati ya hizo mbili,ni lazima atakuwa Yanga au Simba Sc.Shida inakuja kuwa, asilimia nyingi ya hizi derby huchezeshwa na marefa wa utopolo.
 
Ule muda wa lawama umewadia. Akili, macho na masikio yote kwa sasa yameelekezwa Kigoma ambako leo Jumapili, kunapigwa pambano la fainali ya Kombe la Shirikisho (ASFC) baina ya Yanga na Simba itakayochezwa katika Uwanja wa Lake Tanganyika. Shilingi yako iko upande gani?

Kuwa nami kuanzia Saa kumi kamili jioni hii

==========

00' Kipenga kinapulizwa Lake Tanganyika na Yanga inaanza kufika langoni kwa Simba lakini linakuwa shambulizi mfu

01' Yanga inafika tena langoni mwa Simba, Ditram Nchimbi anagongana na Aishi Manula, Refa anaipa faida Simba

07' Ditram Anawekwa chini na Shomari Kapombe nje kidogo ya 18, Free Kick ya Yakuba inapokelewa barabara na Mlinda mlango wa Simba, Aishi Manula

12' Mwamuzi anatoa kadi ya njano kwa Chama baada ya kulalamika Luis Miquissone kufanyiwa madhambi ndani ya Box

22' Almanusura Simba waandike goli la kwanza lakini mpango wao unasimamishwa na Farook Shikalo
Uwanja mbovu pira bovu refa nae ile pressure ya tamko la yanga la kumkataa imemuathiri...anaogopa kukosea filimbi nyingi..
Pira bovu sana
 
Ubaya ni kwamba hautaweza kupata refa ambaye si mshabiki wa team yoyote Kati ya hizo mbili,ni lazima atakuwa Yanga au Simba Sc.Shida inakuja kuwa, asilimia nyingi ya hizi derby huchezeshwa na marefa wa utopolo.
Kweli kabisa
 
Ule muda wa lawama umewadia. Akili, macho na masikio yote kwa sasa yameelekezwa Kigoma ambako leo Jumapili, kunapigwa pambano la fainali ya Kombe la Shirikisho (ASFC) baina ya Yanga na Simba itakayochezwa katika Uwanja wa Lake Tanganyika. Shilingi yako iko upande gani?

Kuwa nami kuanzia Saa kumi kamili jioni hii

==========

00' Kipenga kinapulizwa Lake Tanganyika na Yanga inaanza kufika langoni kwa Simba lakini linakuwa shambulizi mfu

01' Yanga inafika tena langoni mwa Simba, Ditram Nchimbi anagongana na Aishi Manula, Refa anaipa faida Simba
SIMBA inashinda 3-1
 
Back
Top Bottom