Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
Naam Kama kawaida yetu sisi tuko hapa muda wote ila utopolo watakuja hapa wakishinda tu.Naam kumekucha sasa,usiku wa deni haukawii kukucha. Ghazwat OKW BOBAN SUNZU Dam55 BRN Kizibo Utopologist Mshana Jr Kalpana na wanamsimbazi wote leo Simba anakabidhiwa mwali wa pili kwa kumchakaza vibaya Utopolo."mwanakuli-find mwana kuli-get"
Simba nguvu moja.