Simba Vs Yanga (1-0) | Shirikisho | Lake Tanganyika. Simba yatwaa ubingwa ASFC

Simba Vs Yanga (1-0) | Shirikisho | Lake Tanganyika. Simba yatwaa ubingwa ASFC

Kikosi kizuri sana hiki lakini Thadeo Lwanga ana kazi nzito sana leo mana yuko peke yake pale katikati sababu Bwalya sio mkabaji kacho awe na tahadhari kubwa sana
Hii game ya Mzamiru
 
Thread imepoa
thewildlife_tz-20210115-0001.jpg
 
Nimebet tukifungwa leo....kesho Jumatatu nampa 20K kila mfanyakazi hapa kazini kwetu
Wakishinda utopolo,wao watajichanga lunch yangu yoyote nitakayopendelea kuanzia kesho jumatatu hadi Ijumaa

#NguvuMoja 🤞
 
Nimebet tukifungwa leo....kesho jumatatu nampa 20K kila mfanyakazi hapa kazini kwetu
Wakishinda utopolo,wao watajichanga lunch yangu yoyote nitakayopendelea kuanzia kesho jumatatu hadi ijumaa

#NguvuMoja [emoji1696]
Najiuliza Hadi kampuni za kubeti zimpe Simba 1.50 halafu Yanga 3.30 ,wakati Yanga wametoka kuwafunga Simba, hii mechi inaonyesha live Simba anashinda
 
Hawa utopolo wanawaza sana ushirikina aisee!!!
 
Mnyama anaweza kushindana na binadamu???
𝑲𝒂𝒑𝒂𝒎𝒃𝒂𝒏𝒆 𝒏𝒂 𝒔𝒊𝒎𝒃𝒂 𝒃𝒊𝒍𝒂 𝒛𝒂𝒏𝒂 𝒖𝒐𝒏𝒆 𝒖𝒕𝒂𝒌𝒂𝒗𝒚𝒐𝒌𝒂𝒛𝒘𝒂😅😅
 
Kosa tena kafanya kocha wa simba kamwacha Mzamiru nje! Huyu Mzamiru ni afisa mvurugaji mzuri sana wa wapinzani unamwachaje nje?
 
Back
Top Bottom