Simba Vs Yanga (1-0) | Shirikisho | Lake Tanganyika. Simba yatwaa ubingwa ASFC

Simba Vs Yanga (1-0) | Shirikisho | Lake Tanganyika. Simba yatwaa ubingwa ASFC

Yanga siwaoni hapa au ndo wanasubiri hadi washinde ndo waje kupiga kelele.
Jiaminini na timu lenu vyura nyie.
 
Aiseeeh Mkoko kafanya uunyama sana kwa Bocco, nilikuwa anawaambia hapa wenzangu kuwa kama kungekuwa na VAR hiyo ilikuwa ni kadi nyekundu moja kea moja, kumbe refa nae tayari alikuwa ameona.
Mukoko ni kama alimpania boko kwenye mechi hii kutokana na undava aliofanyia kwenye mechi iliyopo
 
Yanga wanatumia nguvu sana na uwanja mbovu, hiyo Red card ni halali kabisa lakini Yanga wana kocha mzuri sana, namjua lakini jinsi wanavyo cheza sio kabisa, kimataifa lazima wabadilike, wasajili sana.
Kwa mpira wa Tz maguvu fitna marefa watajaribu.

Ila kimataifa wana upungufu wa wachezaji wazuri wengi sio wote ni kukamia maguvu na rafu
 
Simba kama ni ushindi tujitahidi sio ktk penati, shikalo ktk penati ni mnyama
 
Back
Top Bottom