Simba Vs Yanga (1-0) | Shirikisho | Lake Tanganyika. Simba yatwaa ubingwa ASFC

Simba Vs Yanga (1-0) | Shirikisho | Lake Tanganyika. Simba yatwaa ubingwa ASFC

Dah! Mabadilko ya mwalimu yote kwa mtazamo wangu ni majanga matupu! Fiston + Farid!! Basi tena! Tujitahidi tu hawa paka wasitufunge magoli mengi.
 
Simba waongeze 3 ziwe 4 habar ya kusawazisha kwenda matuta ni madharau
 
Back
Top Bottom