Simba Vs Yanga,January 4: Show ya 5 bila kujirudia

Kwan na wewe macho yako yanaona kama mimi?
Screenshot_20200104-212950.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1306684

Hakuna ubishi uwezo wa timu hizi mbili unadhibitisha matokeo ya mechi ya Simba Vs Yanga hiyo January,2019. Yanga inakwenda kula vitasa vya nguvu.

Yanga imeonyesha kiwango hafifu sana na mashabiki wameonyesha hofu na kukosa imani na kikosi. Hali hii ni tofauti kabisa na kikosi cha Simba.

Simba yenye kikosi hatari kinachocheza mpira wa kitabuni,imekuwa na uhakika wa kushinda mchezo.

Katika mechi tatu ilichocheza hivi karibuni wamefunga goli 12 huku ikicheza soka la kuvutia.

Ni dhahiri Yanga inategemea zaidi ndondokela na sio uwezo wa kufunga kwa mbinu.

Kwa uwezo wa timu hizi kwa sasa,naziona kabisa tano bila zileeeeeeeeeeeeee

ONYO
Kwa mashabiki wa Yanga wenye tabia za kuweka wake zenu rehani. This time hatua msalia mtume,mkeo tutamchukua
Wewe mbumbumbu Tunaomba matokeo ya mechi ya jana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huyu muanzisha yupo humu au kaukimbia uzi wake!?
Siku zote huwa kuandika ni rahisi mnoo ila njoo kwenye uhalisia sasa wa mechi za simba ya Yanga zinavyokuwa Uwanjani ni tofauti kabisa.

Niseme tu mujimwambafai ila sio kwa kiwango hicho. Goli tano? [emoji848][emoji848][emoji848]

#mojatulinawatosha

"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1306684

Hakuna ubishi uwezo wa timu hizi mbili unadhibitisha matokeo ya mechi ya Simba Vs Yanga hiyo January,2019. Yanga inakwenda kula vitasa vya nguvu.

Yanga imeonyesha kiwango hafifu sana na mashabiki wameonyesha hofu na kukosa imani na kikosi. Hali hii ni tofauti kabisa na kikosi cha Simba.

Simba yenye kikosi hatari kinachocheza mpira wa kitabuni,imekuwa na uhakika wa kushinda mchezo.

Katika mechi tatu ilichocheza hivi karibuni wamefunga goli 12 huku ikicheza soka la kuvutia.

Ni dhahiri Yanga inategemea zaidi ndondokela na sio uwezo wa kufunga kwa mbinu.

Kwa uwezo wa timu hizi kwa sasa,naziona kabisa tano bila zileeeeeeeeeeeeee

ONYO
Kwa mashabiki wa Yanga wenye tabia za kuweka wake zenu rehani. This time hatua msalia mtume,mkeo tutamchukua
Hirizi FC aka Power bank.
 
Back
Top Bottom