king otaligamba
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 2,178
- 2,033
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 Mvua tu huwa ndio nasema inaeza tabiriwa sababu inaeza isinyeshe mchana ila usiku ikawepo na si mpira.
Alazwage tu. 😅
Wewe mbumbumbu Tunaomba matokeo ya mechi ya janaView attachment 1306684
Hakuna ubishi uwezo wa timu hizi mbili unadhibitisha matokeo ya mechi ya Simba Vs Yanga hiyo January,2019. Yanga inakwenda kula vitasa vya nguvu.
Yanga imeonyesha kiwango hafifu sana na mashabiki wameonyesha hofu na kukosa imani na kikosi. Hali hii ni tofauti kabisa na kikosi cha Simba.
Simba yenye kikosi hatari kinachocheza mpira wa kitabuni,imekuwa na uhakika wa kushinda mchezo.
Katika mechi tatu ilichocheza hivi karibuni wamefunga goli 12 huku ikicheza soka la kuvutia.
Ni dhahiri Yanga inategemea zaidi ndondokela na sio uwezo wa kufunga kwa mbinu.
Kwa uwezo wa timu hizi kwa sasa,naziona kabisa tano bila zileeeeeeeeeeeeee
ONYO
Kwa mashabiki wa Yanga wenye tabia za kuweka wake zenu rehani. This time hatua msalia mtume,mkeo tutamchukua
Akikujibu nitag Swahiba
Na mleta uzi mambo yakienda Kombo anakimbia kabisa hata umquote vipi haji. 😂😂😂Wameanzisha Uzi alafu wameingia mitini
Siku zote huwa kuandika ni rahisi mnoo ila njoo kwenye uhalisia sasa wa mechi za simba ya Yanga zinavyokuwa Uwanjani ni tofauti kabisa.
Niseme tu mujimwambafai ila sio kwa kiwango hicho. Goli tano? [emoji848][emoji848][emoji848]
#mojatulinawatosha
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Huyu hujamzowea Swahiba. Yaani anaanzishaga nyuzi za kujitoa ufahamu na mambo yakishageuka harudi tena. Kuna ile nyuzi alisema atavua nguo unaikumbuka? 😀😀
Inawezekana ikawa dish limeyumba huyu jamaa 😀Huyu hujamzowea Swahiba. Yaani anaanzishaga nyuzi za kujitoa ufahamu na mambo yakishageuka harudi tena. Kuna ile nyuzi alisema atavua nguo unaikumbuka? 😀😀
Cc. OKW BOBAN SUNZU.
😀😀😀😀 Hamna ni mahaba na 5imba tu yamezidi kipimo.Inawezekana ikawa dish limeyumba huyu jamaa 😀
Hirizi FC aka Power bank.View attachment 1306684
Hakuna ubishi uwezo wa timu hizi mbili unadhibitisha matokeo ya mechi ya Simba Vs Yanga hiyo January,2019. Yanga inakwenda kula vitasa vya nguvu.
Yanga imeonyesha kiwango hafifu sana na mashabiki wameonyesha hofu na kukosa imani na kikosi. Hali hii ni tofauti kabisa na kikosi cha Simba.
Simba yenye kikosi hatari kinachocheza mpira wa kitabuni,imekuwa na uhakika wa kushinda mchezo.
Katika mechi tatu ilichocheza hivi karibuni wamefunga goli 12 huku ikicheza soka la kuvutia.
Ni dhahiri Yanga inategemea zaidi ndondokela na sio uwezo wa kufunga kwa mbinu.
Kwa uwezo wa timu hizi kwa sasa,naziona kabisa tano bila zileeeeeeeeeeeeee
ONYO
Kwa mashabiki wa Yanga wenye tabia za kuweka wake zenu rehani. This time hatua msalia mtume,mkeo tutamchukua
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hamna ni mahaba na 5imba tu yamezidi kipimo.
Ni ngumu mno kwa Simba kuifunga Yanga siku ya jumapili...Mechi ni siku gani?
Kama ni jmosi basi Yanga atachezea, jpili Simba atachezea, katikati ya wiki droo