Simba Vs Yanga Ngao ya Jamii 08/08/24 anakufa mtu

Simba Vs Yanga Ngao ya Jamii 08/08/24 anakufa mtu

Mods futeni huu Uzi. Haiwezekani sahivi saa 11 jioni jumatano tunawekewa live updates za game itakayochezwa kesho alhamis saa 1 usiku. Hata updates zitakuwa unrealistic. Wekeni kanuni walau nyuzi kama hizi zifunguliwe 6 hrs before game time.
Hawa wajinga ndio huwa wanaingiaga viwanjani saa nne asubuhi katika mechi inayochezwa saa moja usiku
 
Mwenye mganga mzuri kesho anashunda goal 3
GSqeB5lXQAAPBV9.jpeg
 
Sichezagi betting ila ukwel ni kwamba YANGA anaumia kesho. Yan apende asipende ataumia. Iwe kwaa matuta au kwa red card au kwa bahat nasibu, kesho simba anamfunga Yanga
 
Mods futeni huu Uzi. Haiwezekani sahivi saa 11 jioni jumatano tunawekewa live updates za game itakayochezwa kesho alhamis saa 1 usiku. Hata updates zitakuwa unrealistic.

Wekeni kanuni walau nyuzi kama hizi zifunguliwe 6 hrs before game time.
Unawashwa washwa dogo. Mi ni afande. We umeona kuna live updates hapo? Mi nikija navuruga tu.... Shauri yako.
 
Back
Top Bottom