Mods futeni huu Uzi. Haiwezekani sahivi saa 11 jioni jumatano tunawekewa live updates za game itakayochezwa kesho alhamis saa 1 usiku. Hata updates zitakuwa unrealistic. Wekeni kanuni walau nyuzi kama hizi zifunguliwe 6 hrs before game time.
Sichezagi betting ila ukwel ni kwamba YANGA anaumia kesho. Yan apende asipende ataumia. Iwe kwaa matuta au kwa red card au kwa bahat nasibu, kesho simba anamfunga Yanga
Mods futeni huu Uzi. Haiwezekani sahivi saa 11 jioni jumatano tunawekewa live updates za game itakayochezwa kesho alhamis saa 1 usiku. Hata updates zitakuwa unrealistic.
Wekeni kanuni walau nyuzi kama hizi zifunguliwe 6 hrs before game time.