Simba vs Yanga Okt 16, 2010



Kama huna uhakika na source pls dont post....simba wako mza hapa toka juzi ... Kuwa na jamaa ambao una waamini katika habari mambo haya ya kudanganya umma...hayata kusaidia...this post is not helfull at all Mods delete.
 
siungesema chami trans tu..kwani lazima useme ni gari ya mbunge sijui waziri chami?khaaa
 
mh jana nilikuwa pale Ladson nikawaona hao jamaa mmh! Au mnasema washabiki
 
mashabiki wameshaingia uwanjani naam akina simba hao jioneeni mambo

 
Kwahiyo huyu ni nani? We kweli mtu wa pwani huku nyuma kwa nini?
 
Kwa wale wanaongalia hiyo mecho watupe list ya wachezaji kwanza
 
naam naendelea kukupeni habari

sasa kipenzi cha Chadema nakaaya( au Nkaaya naye yumo kwenye uwanja






na uwanja washabiki wa simba na yanga wako kama hivi





ila sijui nani leo atalala

naamini CCM yaani yanga ndio washindi leo
 
sawa Pweza
 
haya vikosi viko kama hivi

Simba:
Juma Kaseja, Shamte, Maftah, Juma Mrisho, Owino, Rashid Jumbe, Chesa, Emmanuel Othman, Okwi, Ochang, Kiemba

Yanga;

Yew Berko, Nsajigwa, Masika, Albert, Kanavaro, Ernest, Chuji, Ali Kassim, Tegete, Nsa Job, Noordin Bakari
 
mi naona Startv wako vizuri kuliko tv station yoyote hapa Tanzania yaani (ITV,TBC na STARTV) na swala la kutokuonyesha baadhi ya mechi za Uingereza ni swala la kimikataba sidhani kama wamepewa haki ya kuonyesha mechi zote..
kulingana na maelezo yako ufafanuzi kidogo hapo kwenye red na blue
 
Emmanuel Othman ndo nani tena huyo? Kweli Simba leo kikosi hiki kipo hatarini
 
Watanzania wana penda mpira wa miguu.. Kaseja,shamte,mafuta,Nyoso,Owino,santo,kiemba,okwi,Echesa,gumbo, ochan
simba wamekosa nafsi mbili za wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…