Buswelu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2007
- 1,998
- 356
Habari zilizonifikia punde toka kwa jamaa zangu waliopo mkoani Singida ni kwamba timu ya Simba sc ambayo leo inategemea kupambana na wapinzani wao wa jadi Yanga,imepata mkosi mara baada ya gari lao walilotumia kusafiria toka Manyoni walikopiga kambi ya siku moja kuharibika.Ikabidi juhudi zifanywe na mbunge wa Singida mjini Mohamed Dewji na kuweza kupata usafiri mwingine wa costa iliyoandikwa CHAMI TRANS inayomilikiwa na Dr.Cyril CHAMI ambayo hufanya safari za DODOMA SINGIDA na kuwawezesha kuondoka majira ya saa 2 asubuhi hii.Na taarifa niliyoipata hivi sasa tayari wameshaingia IGUNGA wakiitafuta NZEGA.
Kwa mujibu wa mtoa ripoti wetu,timu ya Simba walikuwa Manyoni kufuatia kamati ya ufundi kubaini kuwa mambo yalikuwa hayajakamilika nje ya uwanja.
Kama huna uhakika na source pls dont post....simba wako mza hapa toka juzi ... Kuwa na jamaa ambao una waamini katika habari mambo haya ya kudanganya umma...hayata kusaidia...this post is not helfull at all Mods delete.


