Simba vs Yanga Okt 16, 2010

Simba vs Yanga Okt 16, 2010

Joseph owino anakosa goli ndani ya mita sita ilhali kipa kapotea

mungu wangu, huwezi pata nafasi kama ile kwenye mechi kama hiii

inaumiza roho kwa kweli
 
kwanye ucaguzi hapana nyie ccm ni :A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103: usijikaze tu hahaaaa
mtu anaheshimika sana kwa kuongea ukweli

wapi rangi ya kijani ni ushindi tu kwenda mbele

na hapo tumeonyesha mfano

na traventine tukirudi tuna show na Mzee Yussuf karibuni kesho
 
hii mechi kwa kweli simba kama watapoteza itabidi wajilaumu wenyewe tu ila kiukweli simba waliwashika sana yanga na first half wamepoteza nafasi nyingi mno

huyu mtu wa pwani ni mwongo, mwongo mwongo kama viongozi wa CCM
hahaaaa unajua pwani inaanzia charinze heeeee pengine kafanana na jeykeyi
 
mpira haujaisha tu?
kama mmetufunga leo jiandaeni next tyme tunawadidmiza magoli kibao.
 
hii mechi kwa kweli simba kama watapoteza itabidi wajilaumu wenyewe tu ila kiukweli simba waliwashika sana yanga na first half wamepoteza nafasi nyingi mno

huyu mtu wa pwani ni mwongo, mwongo mwongo kama viongozi wa CCM

mwongo Dr Slaa na nyny kama ni uongo mbona tumemnyuka tena kwa huruma tu bao moja

hebu niache niangalie ball hapa
 
Sina imani na Rage kama vipi aachie timu
mshaanza ulozi wenu.
kama kwenye siasa mngekuwa hivyo naamini tusingekuwa na mafisadi.
kama tumefungwa tukubali kwamba game haikuwa yetu leo ingawa tuliwashika kinoma babake
 
Dah mi inaniuma si kwa sababu simba wamefungwa la hasha ila kwa kuwa yanga hawakustahili kushinda ila kwa kuwa ndo hivyo ndio matokeo basi hatuna la kufanya
 
mshaanza ulozi wenu.
kama kwenye siasa mngekuwa hivyo naamini tusingekuwa na mafisadi.
kama tumefungwa tukubali kwamba game haikuwa yetu leo ingawa tuliwashika kinoma babake

hii ni mechi ya tatu tunapoteza tangu achukue timu. Haya mambo ya kufungwa walikuwa wameyazoea yanga sisi hatuyawezi
 
hii mechi kwa kweli simba kama watapoteza itabidi wajilaumu wenyewe tu ila kiukweli simba waliwashika sana yanga na first half wamepoteza nafasi nyingi mno

huyu mtu wa pwani ni mwongo, mwongo mwongo kama viongozi wa CCM

Everybody knows almost doesn't count..
 
Mpira Umeisha Yanga 1-0 Simba. Kwa maana nyingine MNYAMA KAUWAWA!!!
 
Back
Top Bottom