Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Kwa upendo kwa timu yangu ya Simba SC nimefanya malipo ya pesa yote tunayodaiwa na CAF.
UCHANGISHAJI KWA MASHABIKI USITISHWE MARA MOJA.
Ref: 165c654j6657bg654 Kiasi:100,000,000 imelipwa kutoka AC 01xxxxxxxxxx76 kwenda LIPA SIMBA SPORTS CLUB. 2025-01-15 20:10
Mpaka sasa haujafa "gafula"?Milioni tatu?Subwengeee!🤣🤣🤣Umefanya la maana mkuu.... Kwaajili yako na Mimi naenda kuchangia
Million 3 = 3,000,000/ Tzs
[emoji23][emoji23]Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC.
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio (Visababu) SC.
25. Manguruwe SC.
View attachment 3203250
Imewauma sana miferejini SC kwa mashabiki Bora Africa wa timu Bora kuchangia adhabu wao wenyewe.Huu ndo ubaya ubwela wenyewe...hatushindwi na wowote...
Yanii ni tumetaka wenyewe nishachangia elfu 15 yangu chapuu..
We are Simbas Fans and we love our team...
hii kama imewauma pia kunyweni juice ya arovera..
Mashabiki wavunja vitiImewauma sana miferejini SC kwa mashabiki Bora Africa wa timu Bora kuchangia adhabu wao wenyewe.
Miferejini SC wanashangaa hii inawezekanaje,na hii itaingia kwenye vitabu vya historia na kumbukumbu katika mchezo wa soka.
Hao miferejini bila nyuma vibudu hawakusanyiki kwa lolote,na mechi kubwa kwao hua hawaingii full house wanasubiri fungulia Mbwa.
CAF sio CCMMkiwa wachangiaji wazuri mwakani mtapigwa faini million 800 ili akili zikae sawa
Na wameamua kulipa wenyeweMashabiki wavunja viti
Yani mijanaume kutwa kucha kuanzisha nyuzi za wivuu..Imewauma sana miferejini SC kwa mashabiki Bora Africa wa timu Bora kuchangia adhabu wao wenyewe.
Miferejini SC wanashangaa hii inawezekanaje,na hii itaingia kwenye vitabu vya historia na kumbukumbu katika mchezo wa soka.
Hao miferejini bila nyuma vibudu hawakusanyiki kwa lolote,na mechi kubwa kwao hua hawaingii full house wanasubiri fungulia Mbwa.