Simba waamua kutembeza bakuli kuchangia faini ya CAF

Simba waamua kutembeza bakuli kuchangia faini ya CAF

Sasa nyie mwiko nyuma...mbona kama mnakimbilia kuanzisha mada moja..mwenzako Labani og kashaanzisha tumeshachangia na kuichangia Simba pia..
Mods unganisha uzi huu
 
Majukumu ni mengi kuendesha timu ya mpira wa soka la wataalamu tofauti na bendi ya muziki ama timu za ndondo cup

To manage a football club that has professional players is not an easy task
Tena kwenye amateur ligi ni balaaa
 
Nachangia buku Sasa hivi.. Naomba maelekezo. Kama no number ya malipo

1736960597538.png


1736960652283.png


1736960712101.png


cc: Shadow7
 
100,0000,000 bila hiyo buku inabakia 99,999,000 na CAF hawatatusameee mpka senti ya mwisho. Ngoja nitume tu ili hiyo buku pungufu itangulie wakati wengine wanajazia.
Hahaaa sure mkuu[emoji23][emoji23]
 
Kwa upendo kwa timu yangu ya Simba SC nimefanya malipo ya pesa yote tunayodaiwa na CAF.

UCHANGISHAJI KWA MASHABIKI USITISHWE MARA MOJA.

Ref: 165c654j6657bg654 Kiasi:100,000,000 imelipwa kutoka AC 01xxxxxxxxxx76 kwenda LIPA SIMBA SPORTS CLUB. 2025-01-15 20:10
 
Back
Top Bottom