Simba waamua kutembeza bakuli kuchangia faini ya CAF

Simba waamua kutembeza bakuli kuchangia faini ya CAF

Walimuuliza Mwekezaji tunafanyaje? Akawajibu upuuzi huo yeye afanyi, klabu iwajibike.😄😄
 
Walimuuliza Mwekezaji tunafanyaje? Akawajibu upuuzi huo yeye afanyi, klabu iwajibike.😄😄
Kumbuka ana utajiri wa trilioni 4, halafu urudi tena kwenye keyboard 🤣
 
Nachangia buku Sasa hivi.. Naomba maelekezo. Kama no number ya malipo
 
Achana nayo mkuu...buku Yann sasa
100,0000,000 bila hiyo buku inabakia 99,999,000 na CAF hawatatusameee mpka senti ya mwisho. Ngoja nitume tu ili hiyo buku pungufu itangulie wakati wengine wanajazia.
 
Hakuna mashabiki mapuuzi kama ya bongo. Inafanya ujinga wa kurusha vitu au kushambuliwa wageni huku kamera zinakumulika? Hii na Kwa timu zote mbili za kariakoo kwani hata hao wingine ilikuwa almanusura waanze kuwashbulia washangiliaji Bora kabisa afrika wa TP MAZEMBE ambao wanaimba kwa hamasa ,kupiga NGOMA na tarumbeta tofauti na ya bongo midume mizima inapuliza vuvuzela za watoto na kusababisha kelele zisizo na mpangilio
 
Screenshot_20250115-190512.png
 
Kwamba Kalpana auze figo.m..achangie kolo fc[emoji23]🥱
Yani huyo anataka niuze mpk maini...wkt Simba yenyewe haina shida kihivyoo ndio maana wameweka muda wa kuchangia na sio lazima kiasi kifikiwe..ukifika muda uliowekwa iwe ni milioni 5 au 10 au 50 basi wanafunga....
 
Hata mm niko tayari kuchangia klabu yangu ninayoipenda SIMBA SC kiasi nitakachoweza kuchangiq kutokana na .Madhira timu inayopitia.
 
Back
Top Bottom