Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio sio ndogo mkuu...Million 100 sio ndogo
Kwani uongooo?hahaaaNdogo hiyo mkuu....unaweza Kuta kumbe ndo wanayanga waliovunja[emoji23][emoji23]
Mkiwa wachangiaji wazuri mwakani mtapigwa faini million 800 ili akili zikae sawaVizuri.
Huko mbeleni ikiwezekana Tuwe na database ya tiketi, itasaidia kuwatambua mashabiki wanaoisapoti Simba na wale wanaoingia kwa mgongo wa ushabiki kumbe waharibifu watatambuliwa na kupigwa ban ya kutazama mechi za Simba au anunue Ban yake kwa bei mara mbili ya uharibifu aliofanya.
Ishu sio kuchangia. Ishu ni kuwatambua waharibifu. Inawezekana hata si mashabiki wa Simba.Mkiwa wachangiaji wazuri mwakani mtapigwa faini million 800 ili akili zikae sawa
Ndio hio 15,000 ni 0.00000000000001% kwenye 100,000,000 ungetoa 10,000,000 walau ili mkiwa 10 tu tayari mshalipaNdio sio ndogo mkuu...
Viti waharibu wengine kulipa walipe wengine haha ubaya ubayaIshu sio kuchangia. Ishu ni kuwatambua waharibifu. Inawezekana hata si mashabiki wa Simba.
Haisumbui kabisa, buku buku wakichangia watu laki moja tu tunapata na chenji. Kwani hukumbuki lile shindano la Nani Zaidi la Azam Media la uchangiaji wa mashabiki tulivyowakimbiza utopolo hadi wakajitoa na kusema Azam Media wana nia ya kuwadhalilisha? 😂😂😂Kumbe hujawahi hudhuria vikao vya shule.....
Wanakuwepo machawa ....from no where utasikia " wazazi kama tulivyokubalian mchango utakuwa 50k
So unajikuta u can't resist [emoji23]
Hela ya kiwanja Bunju mlichanga mil 60 kwa miezi zaidi ya sita,mtaweza kweli hili? Anyway ngoja niwachangie elf kumi wataniHuu ndo ubaya ubwela wenyewe...hatushindwi na wowote...
Yanii ni tumetaka wenyewe nishachangia elfu 15 yangu chapuu..
We are Simbas Fans and we love our team...
hii kama imewauma pia kunyweni juice ya arovera..
Nitumie mtani...sasa naanzaje kukataa hela nyambala...Au nikutumie wew......coz nimetoka kuuza parachichi huku.....
Nna kibunda heavyweight
Mtani fanya jambo..huo ndo uanaumeHela ya kiwanja Bunju mlichanga mil 60 kwa miezi zaidi ya sita,mtaweza kweli hili? Anyway ngoja niwachangie elf kumi watani
Million 100Nitumie mtani...sasa naanzaje kukataa hela nyambala...
Million 100 dollar afu 40Mtani fanya jambo..huo ndo uanaume
Hee ndugu wapo wengiii watachangia tuuNdio hio 15,000 ni 0.00000000000001% kwenye 100,000,000 ungetoa 10,000,000 walau ili mkiwa 10 tu tayari mshalipa
Lakini bado wapya wanapanga foleni getini kuomba kazi!Mwamedi ni masikini sana, bibarua wake anawalipa 3,000 Kwa simu. Tajiri anaona aibu kampuni Yake ikowa inapunja watu mishahara
Mi siwezi kuwaacha,sasa nitataniana na nani,Ten inaenda kwenye Lipa namba ya MIXX BY YASMtani fanya jambo..huo ndo uanaume
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣🤣 kumbe walikua wanatamani mno zile pesa walizokua wanadondoshewa wachezaji wa Yanga uwanja.
Ubaya ukabwela