Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka ya mbele sanaVizuri.
Huko mbeleni ikiwezekana Tuwe na database ya tiketi, itasaidia kuwatambua mashabiki wanaoisapoti Simba na wale wanaoingia kwa mgongo wa ushabiki kumbe waharibifu watatambuliwa na kupigwa ban ya kutazama mechi za Simba au anunue Ban yake kwa bei mara mbili ya uharibifu aliofanya.
#BAKULIUBAYAUBWELA.
Kweli.Miaka ya mbele sana
Huu ndo ubaya ubwela wenyewe...hatushindwi na wowote...
Yanii ni tumetaka wenyewe nishachangia elfu 15 yangu chapuu..
We are Simbas Fans and we love our team...
hii kama imewauma pia kunyweni juice ya arovera..
Lkn zile pesa mlisema mtajenga kiwanja.....Haisumbui kabisa, buku buku wakichangia watu laki moja tu tunapata na chenji. Kwani hukumbuki lile shindano la Nani Zaidi la Azam Media la uchangiaji wa mashabiki tulivyowakimbiza utopolo hadi wakajitoa na kusema Azam Media wana nia ya kuwadhalilisha? [emoji23][emoji23][emoji23]
Zilijenga uzio wote wa uwanja wetu wa mazoezi Bunju (nasisitiza uwanja wetu, sio wa kukodi kwa anayejiita mdhamini huku akijilipa Kodi ya pango kupitia mfanyakazi wake aliyempa uongozi wa juu)Lkn zile pesa mlisema mtajenga kiwanja.....
Ebu tupen updates .....
Simba wako vizuri sanaBakuli lishaanza kutembezwa. Mlivyokuwa mnatoa viti mnasema Ubaya Ubwela[emoji23][emoji23][emoji23]Haya toeni pesa. Na Zile za Uwanja zipo wapi kwanza?
Makolo waomba kuchangia faini ya 100 million Ili kulipa faini Baada ya kuvunja viti [emoji23][emoji23]
NB: yawezekana hata sio makolo waliovunja viti .... maybe ni kamati maalumu[emoji23]
Ubaya uboya...View attachment 3202569
Mbn tunafanya kwa mapenzi yetu na ni ushauri kutoka kwa wanachama shida iko wapHapana mkuu....timu ndogo ndo zinachangisha
Huwezi Kuta Yanga ..... Madrid....mamelds wanachangishana
Kwamba hakuna uzio?Hahaaa mlipigwa mkuu