Simba waamua kutembeza bakuli kuchangia faini ya CAF

[emoji23][emoji23]
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC.
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio (Visababu) SC.
25. Manguruwe SC.
 
Tumeomba wenyewe kuchangia..hatujashurutishwa.
Mimi tayari nimeshatuma.
 
[emoji23][emoji23]
 
Huu ndo ubaya ubwela wenyewe...hatushindwi na wowote...
Yanii ni tumetaka wenyewe nishachangia elfu 15 yangu chapuu..
We are Simbas Fans and we love our team...
hii kama imewauma pia kunyweni juice ya arovera..
Imewauma sana miferejini SC kwa mashabiki Bora Africa wa timu Bora kuchangia adhabu wao wenyewe.
Miferejini SC wanashangaa hii inawezekanaje,na hii itaingia kwenye vitabu vya historia na kumbukumbu katika mchezo wa soka.
Hao miferejini bila nyuma vibudu hawakusanyiki kwa lolote,na mechi kubwa kwao hua hawaingii full house wanasubiri fungulia Mbwa.
 
Mashabiki wavunja viti
 
Yani mijanaume kutwa kucha kuanzisha nyuzi za wivuu..
Yanii hii ni kubwa mnoo mnoo haijawahi tokea...sisi ndo Simba Fans
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…