Simba wadhamiria kukamilisha uwanja wao, Mo Dewji achangia Bilioni 2

Ndivyo ilivyo?
Kwanba MO anataka kuwadhulumu wanasimba?


Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
Nao way Kama tff wanaweza zuia mkurugenzi wao asiingie uwanjani unategemea nn
 
Kwani kablasha la makubaliano ya uwekezaji kati yenu na uyo mhindi juu ya ujenzi wa uwanja linasemaje tuanzie apo kwanza kabla atujarukia mambo mengine
Kablasha = kabrasha

Tuanzie kwako kwanza na wewe utuoneshe makabrasha yako na timu yoyote tanzania juu ya makubaliano ya kujenga uwanja wa mpira kabla ya kuomba za wengine, ili tujue kama unao uwezo wa kuagiza kuona makabrasha ya wengine.
 
Tatizo Simba hatuna uzoefu wa kuchangia, walituaminisha club ya matajiri iweje mtuletee bakuli. Sisi furaha tu mambo ya mchango toeni ninyi.
Utopolo mmeshatia timu.

Ongeen TU mjifurahishe kwani mtabadilisha nini!
 
Bilioni mbili km zile za yule jamaa anaetaka kudhamini ligi yote.
 
BAKHRESA hakuhitaji michango na alifanya kimyakimya.
Bakhresa si Mo na Mo hatakuwa Bakhresa.

Lkn Bakhresa timu ni yake binafsi. Simba Si ya Mo.Na Mo Ni mfadhili na mwekezaji pale Simba.So ametoa km shabiki mwingine yyte.


Pia HELA ni zake huwezi kumpangia Cha kutoa. Angeweza hata asitoe chochote na hakuna ambaye angemlazimisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…