Jamaa mchoyo Kama Mimi huyuJamaa mjanja Sana, kasha wakimbia tayari. Yaani uwanja wa watu 30, 000/= unao karibia thamani ya 40 bilion unachangia 2 bilion kweli?
Sasa afadhali Mimi fukara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa mchoyo Kama Mimi huyuJamaa mjanja Sana, kasha wakimbia tayari. Yaani uwanja wa watu 30, 000/= unao karibia thamani ya 40 bilion unachangia 2 bilion kweli?
Sasa hapo milioni 2000 Ni ipi?!Sema milion elfu mbili ndio utaeleweka.
Shida yako ni ujuaji , Ila Mo kasema bodi ikae wajadili waone jinsi ya Kufanya.Ndio maana nimesema kabla ya yeye kutoa hizo bil 2, ilipaswa kufanyika analysis juu ya gharama ili kila upande utoe pesa kwa % stahiki.
Kupima kiwanja siyo mateso ni kazi mkuu.Nikiwa site tunapima kiwanja 😂
Rudi kasome tena.Bakhresa Ni mmiliki
Mo Ni mdhamini
Sasa kama ameomba bodi ikae yy alitokaje kuchangia bila kujua gharama? Huoni kama MO ni fix?? Utachangiaje kitu unachomiliki? Unamdanganya nani??Shida yako ni ujuaji , Ila Mo kasema bodi ikae wajadili waone jinsi ya Kufanya.
Shida hapa hatujui kuhusu Mo km mwekezaji anapaswa kufanya nini ktk maendeleo ya timu...
Taasisi ngapi zinaomba michango?Sasa kama ameomba bodi ikae yy alitokaje kuchangia bila kujua gharama? Huoni kama MO ni fix?? Utachangiaje kitu unachomiliki? Unamdanganya nani??
nani asiyejua hayo?Wewe ni kilaza, pitia hoja zako zote kila uelimishwapo kuhusu SIMBA unajaza mafua kichwani. SIKIA MO NI MMILIKI HALALI WA SIMBA KWA 49% na WANACHAMA WANAMILIKI 51%...
Nitajie taasisi iliyoomba michango au kampuni iliyoomba michango ukitoa NGO na mashirika ya kidini (MAKANISA NA MISIKITI)? Simba kwasasa NI PROFIT ORIENTED FIRM Haiwezekani watembeze bakuli kwa biashara zao.Taasisi ngapi zinaomba michango?
Wachangiaji waliwahi kuwa wamiliki?
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Kwanini umeondoa makanisa?Nitajie taasisi iliyoomba michango au kampuni iliyoomba michango ukitoa NGO na mashirika ya kidini (MAKANISA NA MISIKITI)? Simba kwasasa NI PROFIT ORIENTED FIRM Haiwezekani watembeze bakuli kwa biashara zao.
hiyo ndiyo hoja yangu. Ndiyo maana mm kwa tafsiri yangu ametoa km shabiki.Sasa kama ameomba bodi ikae yy alitokaje kuchangia bila kujua gharama? Huoni kama MO ni fix?? Utachangiaje kitu unachomiliki? Unamdanganya nani??
Naona kwa mbali unaanza kuelewa. Iko hivi mkataba wowote una VOID ikiwa uko nje ya sheria mama (Company act) kwa vyovyote vile gharama za ujenzi wa UWANJA lazima ziendane sawa na kiwango cha uwekazaji.nani asiyejua hayo?
Tuambie Mo kwa mujibu wa mkataba anatakiwa kufanya nini ktk ujenzi wa huo uwanja.
Usiniletee elimu za kwenye kitabu ulizokariri.
Hizo ni NON PROFIT ORIENTED FIRMS (HAZIKO KUPATA FAIDA) hivyo uendeshaji wake ni kupitia michango na wahisani. Tofauti na SIMBA ambayo ni kampuni ambayo ipo kibiashara na faida, hivyo hawawezi kuomba wachangiwe wakati kuna walioweka mitaji yao hapo. Nahisi nimekuelewesha sasa.