DINHO
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 880
- 1,750
Amekosea sana. Kuomba watu wachangie wakati wewe umeweka mtaji wako ni WIZI maana yake unataka watu wakuongezee mtaji. Yeye akitoa pesa SIMBA inaingia as a CAPITAL.hiyo ndiyo hoja yangu. Ndiyo maana mm kwa tafsiri yangu ametoa km shabiki.
''Naahidi kuchangia bilioni 2" Hii Ni ahadi. Mchango wake wa hiari.
Hatujui walichosaini simba na Mo.
Watu wanapaswa kuelimishwa sana ili wajue kuwa MO anatumia udhaifu wa WATZ wa kutoelewa masuala ya kifedha. ANAPASWA KUOMBA RADHI KWA KUDHAMIRIA KUWAIBIA WATU. Alipaswa kuja na Mkataba wa ujenzi na gharama na yeye kwa upande wake ameshatoa % zake na upande wa wanachama wahangaike kutoa chao.
UNAWEZA KUCHANGIA PESA KWENYE BIASHARA ISIYO YAKO???