mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Hivi uwanja wa kigamboni umefikia wapi.
hao ndo malisho ya kitoweo
hao ndo malisho ya kitoweo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwanja wa watu 30,000Jamaa mjanja Sana, kasha wakimbia tayari. Yaani uwanja wa watu 30, 000/= unao karibia thamani ya 40 bilion unachangia 2 bilion kweli?
Yanga wote wamegeuka wachawi.
Kama anamiliki asilimia 49% ya club, anapaswa kulipa asilimia 49% za gharama za kujenga uwanja.Bakhresa anamiliki timu kama mali yake...Simba ni timu ya wanachama so wanachama wana wajibu wa kuwajibika kuleta maendeleo kwenye timu yao
We jamaa pamoja na kuwa mtupu mno kichwani, ila kwa hili kama nakuelewa.Wewe ni kilaza, pitia hoja zako zote kila uelimishwapo kuhusu SIMBA unajaza mafua kichwani. SIKIA MO NI MMILIKI HALALI WA SIMBA KWA 49% na WANACHAMA WANAMILIKI 51% Kwahiyo KAMA ILIVYO AZAM AMBAPO BAKHRESA ANAMILIKI KWA 100% NA SIMBA INAMILIKIWA KWA 49% NA MO. HIVYO NI JUKUMU LAKE KUJUA GHARAMA ZA UWANJA NA KISHA AKAE YEYE NA WANACHAMA WAGAWANE KULINGANA NA UBIA WAO AMBAO NI 51% KWA 49%.
Unapochangia kitu tuliza akili yako na acha ushabiki wako wa kimpira usio na maana.
Kwa mfano wewe ukichangia hiyo pesa na UWANJA UKAJENGWA hujui kuwa UTAKUWA MALI YA MO KWA 49%?? kwa maana itakuwa ni ASSET ya SIMBA?
Sasa kwanini atake mchangie wakati anajua wazi kuwa yeye ni mmiliki? Anataka tumpe mtaji aongezee kwenye mtaji wa AWALI?
Hapana , sidhani kama ni jukumu lake kigharamia 49%za ujenzi wa uwanja. Uwanja una gharama Sana za ujenzi. Hao wanachama Wana buku buku tu. Haiwezi kufika huko. Labda wajenge kama chamazi. Ila kama uhuru au taifa. Nguzo moja ya uwanja tu unakuta imelamba mamilioni ya pesa.Kama anamiliki asilimia 49% ya club, anapaswa kulipa asilimia 49% za gharama za kujenga uwanja.
And then uwamja utakuwa mali ya nani? Manake jamaa hachelewi kuweka jina lake...kumbuka Simba ni ya wanachama sio mashabiki...Nimepokea maoni mengi ya WanaSimba wenzangu wakishauri tujenge uwanja wetu na wako tayari kuchangia ili tufanikishe ujenzi huo. Naomba kuweka wazi kwamba nimepokea maoni hayo kwa mikono miwili.
Naomba Bodi ya Simba kukaa na kuja na utaratibu wa haraka ili jambo hili lianze utekelezaji. Kwa kuanza naahidi kuchangia Tsh. 2 bilioni. Nawaomba wanasimba tuchangie sote.
View attachment 2042471
Hapana , sidhani kama ni jukumu lake kigharamia 49%za ujenzi wa uwanja. Uwanja una gharama Sana za ujenzi. Hao wanachama Wana buku buku tu. Haiwezi kufika huko. Labda wajenge kama chamazi. Ila kama uhuru au taifa. Nguzo moja ya uwanja tu unakuta imelamba mamilioni ya pesa. Dawa ni kukopa tu.Kama anamiliki asilimia 49% ya club, anapaswa kulipa asilimia 49% za gharama za kujenga uwanja.
Ujenzi ni gharama Sana. Kama tu nyumba nzuri ya kawaida ni mil 20 hiyo ni ya udongo. Kama kweli unajengwa uwanja kama atleast wa uhuru hio pesa inafikaUwanja wa watu 30,000
Bilioni 40?
Mbona KUBWA Sana gharama
ule wa gwambina si walijenga kwa bilioni 1.?Ujenzi ni gharama Sana. Kama tu nyumba nzuri ya kawaida ni mil 20 hiyo ni ya udongo. Kama kweli unajengwa uwanja kama atleast wa uhuru hio pesa inafika
Hili jambo mpaka sasa bado ni mapendekezo na sio mchakato kamili ndio maana MO ameomba Board ikae .Rudi shule we bado ni mtoto. Huna uelewa wowote kuhusu umiliki wa kampuni. Mtatapeliwa sana kwa ubishi wa kitoto kama wako.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu kwahiyo mimi mtupu kichwani dah, nimecheka hadi watoto wananishangaa hapa.. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]We jamaa pamoja na kuwa mtupu mno kichwani, ila kwa hili kama nakuelewa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu umenikosea saaaaanaWe jamaa pamoja na kuwa mtupu mno kichwani, ila kwa hili kama nakuelewa.
Ume eleweka japo inaumaWakuu tukiacha siasa za maji taka za Usimba na Uyanga. Nataka nichangie huu mjadala kwa namna tofauti, kwa namna ambayo nitaiweka kidogo kisomi na hapa naomba tuache ushabiki.
1. Simba ni kampuni ambayo iko na 2 shareholders, MO and Members on the other hand. Kwa mtiririko huohuo shareholders wako na share 49% na 51% respectively.
Kama ndio hivyo basi SIMBA SC ni Mali ya MO na WANACHAMA kwa upande mwingine. Hata hivyo kama SIMBA ni kampuni na hao ni wabia wake, haitakiwi shabiki achangie kiasi fulani katika ujenzi wa ASSETS za Klabu kwa sababu shabiki akichangia ina maana unamwongezea MTAJI MMILIKI.
2. Ilitakiwa ifanyike analysis nzima juu ya gharama za ujenzi kisha gharama zile zigawanywe kwa uzito sawa na SHARES yaani kama ujenzi ni BIL 20 basi MO atapaswa kutoa Bil 9.8 na WANACHAMA Bil 10.2. Yes ni kampuni hivyo Mo hapaswi kusema watu wachangie wakati yeye ni mwanahisa na anapata INCOME through hiyo kampuni si sahihi. Kwanini aombe michango wakati kampuni ni yake kwa 49%?.
3. Watanzania wenzangu, kabla ya kurukia kitu lazima mkae chini na mtafakari kwa kina juu ya masuala haya. MO anawakosea sana Simba, na always yy hujifanya kama anasaidia lkn ukweli ni kwamba yeye ni Mwanahisa kwanini atake mashabiki wamchangie? Kama ndio hivyo basi ajitoe kuwa mmoja wa wamiliki ili watu wachangie wakijua yeyote anaweza kuwa kiongozi wa SIMBA.
4. Rai yangu kwa wapenda michezo, haki na wapenzi wa hii klabu kupaza sauti na kugundua UTAPELI wa wazi anaofanya huyu MO DEWJI.
KWA UCHACHE NAWASILISHA.
NB. Kama uelewa wako kuhusu umiliki wa makampuni ni FINYU usiquote huu mchango.
[emoji23][emoji23] huwa unazingua sana kwenye mada zako kwa akina mayele, ila ume eleweka.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu kwahiyo mimi mtupu kichwani dah, nimecheka hadi watoto wananishangaa hapa.. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kuna muda tunaweka ushabiki lkn wakati mwingine tunazungumza ila hali halisi. Yote kwa yote tuko pamoja sana.[emoji23][emoji23] huwa unazingua sana kwenye mada zako kwa akina mayele, ila ume eleweka.
Njia rahisi kwa Simba kujenga uwanja ni kuingia ubia na Kampuni duniani kote wanafanya hivyo hata kama watachangia fedha lakini at least 55% - 65% ya Bajeti itoke kwenye Kampuni hizo zingine hata wakichangia sawaKama anamiliki asilimia 49% ya club, anapaswa kulipa asilimia 49% za gharama za kujenga uwanja.
Bado hujajifunza semi?Kupanga ni kuchagua huku unabinyabinya!Sina wivu mkuu. Ila mashabiki wanapelekwa kwa hisia zaidi. Na kuna uwezekano mkubwa hilo suala lilipangwa kabla.
Si ajabu viongozi walikua wanajua na walianzisha zogo kusudi tu coz wanajua nature ya mashabiki wao.
Yaani mpaka great thinkers wa jf unatumia majina ya Facebook na Instagram!eti makolo walahi if imevamiwa.Daa huyu Mhindi mjanja kweli kweli, makolo manajichanga alafu siku ya mwisho uwanja unakuwa mali Mhindi