Simba wakiifunga Galaxy nipigwe ban

Mkuu,

Huyu ban yake iwe kama ile ya Manara kutoingia kwa Mkapa. Huyu apigwe ban ya kutoiongelea simba milele.

Kila akijichanganya kuitaja simba hata iwe kwa bahati mbaya,ban hii hapa. Vinginevyo hataacha kuandika mashudu.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mkuu usiwadhamini Makiriri yatafungwa si chini ya goli mbili ingawaje watasumbua sana ..
 
Simba ni mbovu lakini sio wakufungwa na vibonde wale.

Hata mimi napenda Simba afungwe lakini sioni kama Samsung galax inaweza fanya hivyo.
 
Kwani bia bei gani mpaka unywe mipombe michafu!? Ona sasa unaandika upuuzi!
 
Utakuwa umevuta wewe
Js soura ilifungwa tatu ila CRB kapokea nne.
Pia Js soura ki rank iko chini na CRB iko juu ki rank hivyo CRB ni dude kubwa kuliko hata yanga yenyewe.
Yani Yanga kamfunga mtu ambae ana ubavu kuliko yeye.
Kwa sidhani kama angetoboa kwa CRB.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…