Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu,
Huyu ban yake iwe kama ile ya Manara kutoingia kwa Mkapa. Huyu apigwe ban ya kutoiongelea simba milele.
Kila akijichanganya kuitaja simba hata iwe kwa bahati mbaya,ban hii hapa. Vinginevyo hataacha kuandika mashudu.
Kwamba tuwaombee wapite??Mkuu naona umeamua uwasagie kunguni.
Japo hii sekta ungewaachia tu hao mbumbumbu wazidi kujiwakilisha vyema.
Na ntahikikisha hilo linatokea nitaenda ofisi za JFBan ya wiki kawaida sana me wanipige ya mwaka
Mkuu pia yuko na huyu anajiita Half american ametaka apigwe ya mwaka mzima. Naomba moderators walizingatie hilo ombi.Sawa.
Duuuuh [emoji26][emoji32]Na ntahikikisha hilo linatokea nitaenda ofisi za JF
Ushauri wangu ....Simba ni mbovu lakini sio wakufungwa na vibonde wale.
Hata mimi napenda Simba afungwe lakini sioni kama Samsung galax inaweza fanya hivyo.
Acha kunisagia kunguni mkuu, wasipoona basiMkuu pia yuko na huyu anajiita Half american ametaka apigwe ya mwaka mzima. Naomba moderators walizingatie hilo ombi.
😂😂Na ntahikikisha hilo linatokea nitaenda ofisi za JF
Kwani bia bei gani mpaka unywe mipombe michafu!? Ona sasa unaandika upuuzi!Japo Mimi ni mdau wa Michezo na napenda kuona timu za Tanzania zikitoboa kimataifa ila Kwa timu hii ya Simba ni ngumu kwenda robo fainali CAF champions league, kiwango ni kidogo sana, tutaaibika kimataifa.
Kiapo
Mimi kama Labani og nikiwa na akili timamu bila kushawishiwa na mtu na declare Kwamba kama makolo wakishinda naomba nipigwe ban ya week on the spot.
@ActiveKwa Maneno ya Ahmed Ally ya dharau na Mimi Simba akiifunga Galaxy Mods usikwepeshe naomba uninyooshe na ban, Simba anaenda kufa hio mechi
@ActiveSimba akifuzu robo final nipigwe ban,nishachungulia kigamboni.
Js soura ilifungwa tatu ila CRB kapokea nne.Utakuwa umevuta wewe