Simba wakiifunga Galaxy nipigwe ban

Simba hata apangiwe madrid kufika robo ni lazima, niambie ni lini aliingia makundi akashindwa fika robo? Au siku zote anapangiwa timu dhaifu?
 
Simba hata apangiwe madrid kufika robo ni lazima, niambie ni lini aliingia makundi akashindwa fika robo? Au siku zote anapangiwa timu dhaifu?
Doh! Kaka punguza ushabiki maandazi.
Fuatilia kuanzia 2018 mpaka sasa hayo makundi aliyoshiriki simba kesha tizama na kundi la sasa la Yanga kuna watu wawili waliokua na viwango na rank kubwa CAF CRB Al ahly.
Pia medeama sio kama asec mimosa.
 
Hivi hiyo CRB ilishawahi ifikia AS VITA ikiwa kwenye ubora wake?
 
Sema haiko kwenye fomu nzuri ila sio ya kufungwa kwenye mechi muhimu kama hii.

Inshort Galaxy hana timu ya kuifunga Simba.
Haya mambo huwa yanawaingia wachezaji na ujinga huwakaa kirahisi wanaenda kucheza upumbavu tu kwa kudharau na wanakosa matokeo
 
Hivi hiyo CRB ilishawahi ifikia AS VITA ikiwa kwenye ubora wake?
We ulikutana na AS vita iliochakaa kama Yanga Confederation alivyokutana na TP mazembe iliyochakaa.
Ila CR belouzdad unamzungumzia mtu ambaye 85% ana consistency muda mwingi.
 
Mm nikajua utaolewa na Manara a Master of loose balls
 
Subiria ban 3-0 huko hivi ulisema Galaxy akiifunga Simba upigwe ban?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…