Simba hata apangiwe madrid kufika robo ni lazima, niambie ni lini aliingia makundi akashindwa fika robo? Au siku zote anapangiwa timu dhaifu?Kuongoza kundi sio kitu ni kawaida kaka,cha ajabu Al ahly akafika fainal simba akaishia robo.
Ila tuongee kimpira Simba angekua na Al ahly na Belouzdad kwa wakati mmoja weeeh kutoboa sio rahisi.
Hiyo medeama yenyewe inaupiga mwingi kiufupi Yanga ilipangiwa kundi gumu sana msimu huu.