BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,362
- 3,252
Mpo?
Never say never.Thrilled to announce that, you are going to be banned for while
Pamoja na kwamba Mimi ni shabiki wa Simba lakini tukifanikiwa kuingia robo fainali tusibweteke kabisa. Hii Galaxy ni daraja TU la kufikia robo fainali hakuna timu hapa. Hii galaxy haina tofauti na Gwambina FC.Mpo?
Sijakuelewa ulisema simba ikishinda upigwe miti au?Japo Mimi ni mdau wa Michezo na napenda kuona timu za Tanzania zikitoboa kimataifa ila Kwa timu hii ya Simba ni ngumu kwenda robo fainali CAF champions league, kiwango ni kidogo sana, tutaaibika kimataifa.
Kiapo
Mimi kama Labani og nikiwa na akili timamu bila kushawishiwa na mtu na declare Kwamba kama makolo wakishinda naomba nipigwe ban ya week on the spot.
Shabiki maandaziModerator ....naomba uzwi huu ufutwe ....kwani simu yangu alikuwa anachezea mtoto ......nahisi ndiye aliyepost haya .....
Mimi mwenyewe nmeshtuka[emoji32][emoji32][emoji22][emoji22]kuona hii thread ...
Mimi ni nani nimpinge mnyama[emoji250][emoji250] akiwa kimataifa [emoji32]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Axha ujinga wewe, haya sasa simba sc ametangulia.3-0, unasemaje?Daaah ya milele hapana mkuu....mtakosa madini humu ndani
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kitengo cha ban kinasimamiwa na nani kiongozi PawJapo Mimi ni mdau wa Michezo na napenda kuona timu za Tanzania zikitoboa kimataifa ila Kwa timu hii ya Simba ni ngumu kwenda robo fainali CAF champions league, kiwango ni kidogo sana, tutaaibika kimataifa.
Kiapo
Mimi kama Labani og nikiwa na akili timamu bila kushawishiwa na mtu na declare Kwamba kama makolo wakishinda naomba nipigwe ban ya week on the spot.
We kweli kiazi wahedJapo Mimi ni mdau wa Michezo na napenda kuona timu za Tanzania zikitoboa kimataifa ila Kwa timu hii ya Simba ni ngumu kwenda robo fainali CAF champions league, kiwango ni kidogo sana, tutaaibika kimataifa.
Kiapo
Mimi kama Labani og nikiwa na akili timamu bila kushawishiwa na mtu na declare Kwamba kama makolo wakishinda naomba nipigwe ban ya week on the spot.
Mkuu, nimekubali kweli mpira unaujua, mimi ni shabiki wa Yanga ila nimefurahi kwa mpira wa leo wa Simba. Ni vizuri Mod wawe wanatekeleza hizo ban kwani mtu kaomba mwenyewe.Sema haiko kwenye fomu nzuri ila sio ya kufungwa kwenye mechi muhimu kama hii.
Inshort Galaxy hana timu ya kuifunga Simba.
Shauri yako.Japo Mimi ni mdau wa Michezo na napenda kuona timu za Tanzania zikitoboa kimataifa ila Kwa timu hii ya Simba ni ngumu kwenda robo fainali CAF champions league, kiwango ni kidogo sana, tutaaibika kimataifa.
Kiapo
Mimi kama Labani og nikiwa na akili timamu bila kushawishiwa na mtu na declare Kwamba kama makolo wakishinda naomba nipigwe ban ya week on the spot.
Phoko wa Galaxy ni pacha wakoMkuu, nimekubali kweli mpira unaujua, mimi ni shabiki wa Yanga ila nimefurahi kwa mpira wa leo wa Simba. Ni vizuri Mod wawe wanatekeleza hizo ban kwani mtu kaomba mwenyewe.