Simba wakiifunga Galaxy nipigwe ban

Simba wakiifunga Galaxy nipigwe ban

Kuna kipindi simba ilikuwa inaishi dunia ya pekee, ndio kipindi yanga wanaleta akina Sapong, kocha mwinyi zahera🤣, wamepitia mengi kenge hizi,, wamejitafuta sana hadi kufika level aliyopo simba,,

Sasa wacha watucheke,

Inatakiwa azam naye ajitafute afike hizi level,,

Simba wake up📌
 
Sema haiko kwenye fomu nzuri ila sio ya kufungwa kwenye mechi muhimu kama hii.

Inshort Galaxy hana timu ya kuifunga Simba.
Hapo kwenye "haiko kwenye fomu nzuri" wao wenye club yao hawataki kabisa kukubali.
 
Kuna kipindi simba ilikuwa inaishi dunia ya pekee, ndio kipindi yanga wanaleta akina Sapong, kocha mwinyi zahera[emoji1787], wamepitia mengi kenge hizi,, wamejitafuta sana hadi kufika level aliyopo simba,,

Sasa wacha watucheke,

Inatakiwa azam naye ajitafute afike hizi level,,

Simba wake up[emoji419]
Yanga amefika level alizonazo Simba au amezidi? Kiwango cha mpira wa Yanga kwa sasa kiko juu kuliko cha Simba. Mpira unachezwa wote tunaona, tusione taabu kuusema ukweli.
 
Yanga amefika level alizonazo Simba au amezidi? Kiwango cha mpira wa Yanga kwa sasa kiko juu kuliko cha Simba. Mpira unachezwa wote tunaona, tusione taabu kuusema ukweli.
Tupo classic moja lakini perfomance ni kitu kingine,,
 
Ngoja tuiweke kumbukumbu...

Japo Mimi ni mdau wa Michezo na napenda kuona timu za Tanzania zikitoboa kimataifa ila Kwa timu hii ya Simba ni ngumu kwenda robo fainali CAF champions league, kiwango ni kidogo sana, tutaaibika kimataifa.

Kiapo
Mimi kama Labani og nikiwa na akili timamu bila kushawishiwa na mtu na declare Kwamba kama makolo wakishinda naomba nipigwe ban ya week on the spot.
 
Kuna kipindi simba ilikuwa inaishi dunia ya pekee, ndio kipindi yanga wanaleta akina Sapong, kocha mwinyi zahera[emoji1787], wamepitia mengi kenge hizi,, wamejitafuta sana hadi kufika level aliyopo simba,,

Sasa wacha watucheke,

Inatakiwa azam naye ajitafute afike hizi level,,

Simba wake up[emoji419]
[emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ungesema kabisa kuwa wakutoe huo mwiko nyuma.Yani watu kufika robo wanazimia je mkifika nusu simtakufa na huo mwiko nyuma.
 
Japo Mimi ni mdau wa Michezo na napenda kuona timu za Tanzania zikitoboa kimataifa ila Kwa timu hii ya Simba ni ngumu kwenda robo fainali CAF champions league, kiwango ni kidogo sana, tutaaibika kimataifa.

Kiapo
Mimi kama Labani og nikiwa na akili timamu bila kushawishiwa na mtu na declare Kwamba kama makolo wakishinda naomba nipigwe ban ya week on the spot.
Thread za kisimbe
 
Mkuu,

Huyu ban yake iwe kama ile ya Manara kutoingia kwa Mkapa. Huyu apigwe ban ya kutoiongelea simba milele.

Kila akijichanganya kuitaja simba hata iwe kwa bahati mbaya,ban hii hapa. Vinginevyo hataacha kuandika mashudu.
 
Back
Top Bottom