Simba wakiifunga Galaxy nipigwe ban

Simba wakiifunga Galaxy nipigwe ban

Japo Mimi ni mdau wa Michezo na napenda kuona timu za Tanzania zikitoboa kimataifa ila Kwa timu hii ya Simba ni ngumu kwenda robo fainali CAF champions league, kiwango ni kidogo sana, tutaaibika kimataifa.

Kiapo
Mimi kama Labani og nikiwa na akili timamu bila kushawishiwa na mtu na declare Kwamba kama makolo wakishinda naomba nipigwe ban ya week on the spot.
Mnatoaga wapi ujasiri wa kubet kijinga kijinga hivyo? Ban inakuhusu maana yameshapiga mtu goli 3 na yana njaa balaa!
 
Japo Mimi ni mdau wa Michezo na napenda kuona timu za Tanzania zikitoboa kimataifa ila Kwa timu hii ya Simba ni ngumu kwenda robo fainali CAF champions league, kiwango ni kidogo sana, tutaaibika kimataifa.

Kiapo
Mimi kama Labani og nikiwa na akili timamu bila kushawishiwa na mtu na declare Kwamba kama makolo wakishinda naomba nipigwe ban ya week on the spot.
Unaonaje tukaanza petition ya kukuombea msamaha kwa JamiiForums kwamba uliteleza tu?
 
Moderator ....naomba uzwi huu ufutwe ....kwani simu yangu alikuwa anachezea mtoto ......nahisi ndiye aliyepost haya .....

Mimi mwenyewe nmeshtuka[emoji32][emoji32][emoji22][emoji22]kuona hii thread ...

Mimi ni nani nimpinge mnyama[emoji250][emoji250] akiwa kimataifa [emoji32]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Michosho tu,, em pika ugali ule
 
Back
Top Bottom