Simba waliandika barua Moja tu, Yanga makelele kila siku

Simba waliandika barua Moja tu, Yanga makelele kila siku

Hapa yanga yupo kwenye mtego. Siku tarehe ikipangwa halafu asipeleke timu ipo hatari kubwa ya kulimwa adhabu itakayo waacha vinywa wazi wadau wa soka nchini.
Washasema wapo tayari kwa lolote!
 
Back
Top Bottom