Hii kanuni bwana kanjibhai wa Simba aliitumia ipasavyo kwenye zoezi Zima la usajili msimu huu!
Akutaka kuumiza kichwa kusajili wachezaji Wenye profile kubwa Wala Wenye uzoefu wa michuano ya kimataifa!
Alijua kabisa wachezaji dizaini iyo gharama yake ni kubwa sana na walikuwa wametolewa macho na vilabu vyenye misuli ya kiuchumi ivyo aliamua kwenda kujitafutia cheap labour toka kwenye vilabu ambavyo ata kucheza tu hatua ya makundi shirikisho avijawai kucheza!
Alijua kabisa wale atawapata kwa Bei kitonga ili waje wampe mafanikio makubwa kwenye hatua ya mechi za kimataifa!
Lakini alisahau kwamba ukipanda bangi uwezi kuvuna mahindi ata siku Moja!
Kile tulichokiona jana kwenye mechi kati ya Simba na Ahly ahli tripoli sio kwamba kimetokea kwa bahati mbaya hapana, ni mwendelezo wa kile tulichokuwa tunakiona kwenye usajili wa Simba sisi Wenye jicho la 3!
Uzoefu na ukomavu wa mchezaji kwenye mechi kama hizi za kimataifa ni muhimu sana sana, tumeona wachezaji wengi wa Simba jana walikuwa wanakosa uzoefu na ukomavu kwenye Ile mechi, walikuwa wanacheza utafikiri wanacheza mechi ya ligi kuu au Azam federation cup!
Unamuweka benchi mukwala alafu unamuingiza Valentino mashaka akabadilishe matokeo ni kichekesho aswaa!
Alichoingia kufanya wote mliona, Jean Charles ahou, Debora Fernandez,Joshua mutale, Edwini balua ndio viungo anaotegemea kocha wampe matokeo mechi za kimataifa wakati test ndogo tu ya timu kama Ile wamepoteana mazima!
Ayo ndio matokeo ya kusajili cheap labour lazima ukubali utachokipata, unasajili wachezaji 14, wa viwango vya kawaida ukitegemea kupata return ya matokeo makubwa ni uongo!