Simba walitoa taarifa rasmi kwa timu mwenyeji kuwa saa 1:15 watautumia uwanja?

Simba walitoa taarifa rasmi kwa timu mwenyeji kuwa saa 1:15 watautumia uwanja?

Hili tatizo lisingetokea kama kila mtu angekuwa na uwanja wake maana pale kwa mkapa wanapaona kila timu ni nyumbani kwao anaweza kwenda muda wowote
Si kweli. Ungeelewa msingi wa tatizo ungejua kuwa hata Simba na/au Yanga zikiwa na uwanja wake, hili tatizo lingeweza au linaweza kutokea. Tena linaweza kuwa tatizo kubwa zaidi maana unadili na wahuni wanaodhani wako juu ya sheria.
 
Sio tu timu mwenyeji, hata meneja wa uwanja na Bodi ya ligi haikuwa na Taarifa kuwa Simba wanataka kutumia uwanja usiku.

Unakuja ni kwanini?
Acha siasa za kipuuzi game ya derby nani hana taarifa na je kama team imefika wew kama kiongozi unafaa kugomesha au kulitatua yaani derby ya kariakoo hata katoto kadogo kanajua mechi ipo alafu unasem eti hakujua haya baada ya kujua alifanyaje kugomesh ashukur hayati pombe maguful hayupo usiku wa jana angeona barua yake ya kusimamishwa kazi ...
Kuwa na viongozi machawa ambao hawasimamii misingi ya raia wake ndo matokeo hayo usitetee ujinga ..
Mwaka 2021 hao yanga si waliombwa muda usogee mbele na bodi ya ligi wakawapa taarifa na wakasem kanuni haijafatwa je unaona leo simba hawajafata kanuni au unaongea kupitia kisigino
 
Elewa sentensi,"KABLA YA SIKU YA MCHEZO" ina maana haitakiwi kuwa siku husika ya mchezo.

Sawa,tufanye uko sawa,je wahusika wa uwanja walipewa taarifa juu ya ujio wa simba,au wahusika walitakiwa KUHISI tu kuwa simba watakuja muda wowote waache mageti wazi?
Sheria inasema walau siku moja kabla ya mchezo, sio lazima iwe siku moja kabla ya mchezo. Kwenge mahojiano ya Mwenyekiti wa bodi na EFM mtagazaji alikiri hilo kwamba juzi waliutumia uwanja. Ijumaa walikuja ila mwenye funguo za uwanja Meneja hakupewa taarifa,sasa mlitaka meneja afanye nini kwanza sio mda wa kazi pili hana taarifa.
IMG_20250308_111423.jpg
 
Kanuni ilishasema wao ilikuwa kutekeleza tu, watoe taarifa kwani wanahitaji kibali.
 
Kanuni haisemi siku moja kabla, bali angalau mara moja kabla ya mechi

View attachment 3263807
Na mara moja kabla ya mechi, it can be two days, five days, a week or just a day before. Na inasemekana walishafanya mazoezi Ijumaa, hence kigezo cha angalau mara moja kimekamilishwa.
.... katika muda tarajiwa wa mchezo ... hapo umeelewa nn?
 
kwani utopolo kanuni hamjui?taarifa ya nini?mfiche tunguri zenu!?
Hizo kanuni mlizijua jana,round ya kwanza kulikuwa hamna kanuni.
JamiiForums-777753140.jpg

Halafu hamjazui na Yanga bali mwenye funguo ambaye ni meneja wa uwanja hakumtaarifu na mda mliokuja sio mda wake wa kazi.
 
.... katika muda tarajiwa wa mchezo ... hapo umeelewa nn?
Mchezo ulipangwa kuchezwa saa 1 na robo usiku, hivyo, siku yoyote itakayochaguliwa kwa ajili ya kufanya mazoezi, basi yafanywe saa 1 na robo usiku. Iwe two days before, a week, five days before etc..!!
 
Kwa maana kanuni inasema timu mgeni ana haki ya kufanya mazoezi katika uwanja utakaochezewa mechi angalau SIKU MOJA kabla ya mechi.

Sasa swali ni je simba walienda kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi? siku za kisoka zinahesabiwaje? Kwa mfumo wa masaa 24,48,72? Au zinahesabiwa kwa mfumo wa j3,j4,j5...?

Kama zinahesabiwa kwa mfumo wa j3,j4...., simba wako sawa kama tu walimtaarifu mwenyeji ili awaachie mlango wazi.ila kama zinahesabiwa kwa mfumo wa saa 24,basi simba hawakwenda siku moja kabla,bali walienda siku husika ya mchezo.

Na je,ikitokea kama ilivotokea leo kanuni zinaruhusu timu kususia mchezo?

Nani mwenye mamlaka kikanuni ya kuvunja mchezo?

Mamlaka ya kuvunja mchezo simba ameyatoa wapi?
Kwahiyo ukiijua tu sheria unaruhusiwa kujichukulia maamuzi?

Aaah au basi! Soka letu kivyetu vyetu!
Hakuna anayejali muda,hisia na pesa walizotumia mashabiki na wadau!
TTF inaendeshwa kama familia Tena kwakusikilizia kelele za watu hawana weledi wa mpira na biashara,

TFF is taking people for granted
 
Mchezo ulipangwa kuchezwa saa 1 na robo usiku, hivyo, siku yoyote itakayochaguliwa kwa ajili ya kufanya mazoezi, basi yafanywe saa 1 na robo usiku. Iwe two days before, a week, five days before etc..!!
Sasa Simba hawakuchagua siku nyingne yoyote zaidi ya siku hiyo ya mwisho kuelekea mechi sasa watuambie hao wenye uwanja kama kuna siku waliiona simba ikija kufanya mazoezi hapo tofauti na hiyo siku iliyozuiliwa
 
Unapochagua siku unatakiwa uwasiliane. Barua ya bodi ya ligi ipo wazi kuwa Simba hawakuwasiliana na yeyote.
 
Unapochagua siku unatakiwa uwasiliane. Barua ya bodi ya ligi ipo wazi kuwa Simba hawakuwasiliana na yeyote.
Kanuni gani inayomtaka simba kuandika barua bado kwenye hicho kifungu hakuna hayo maelezo yakuandika barua
 
Kanuni gani inayomtaka simba kuandika barua bado kwenye hicho kifungu hakuna hayo maelezo yakuandika barua
Sijasema Simba iandike barua, nimesema iwasiliane. Barua ya bodi ya ligi ya kughairisha mchezo ndo imetaja kuwa Simba hawakuwasiliana na yeyote
 
Unapochagua siku unatakiwa uwasiliane. Barua ya bodi ya ligi ipo wazi kuwa Simba hawakuwasiliana na yeyote.
Simba iliwasiliana na wenye uwanja tukiwa uwanjani kama kungekuwa na sababu za kushindwa kuturuhusu kuingia wangeziweka wazi sio kusema hamkutoa taarifa ni nani anajua simba alitakiwa taarifa na ni masaa mangapi kabla hiyo taarifa?
 
Back
Top Bottom