Simba walivyopendeza na logo ya NBC, kanuni kuitoa Yanga kwenye ligi

tozi zee

Member
Joined
Sep 14, 2021
Posts
20
Reaction score
73
Simba na NBC ni kama kiuno na mkanda tangu enzi hizoooo jezi la mnyama simba likiwa limechafuka kama kawaida kitendo ambacho siyo rahisi kukuta kwenye team zinazofanya vibaya kuvutia sponsors wa kuchafua jezi.

Pichani ni Mnyama Pawasa akiwa ametinga uzi wenye twiga mwekundu vilevile ni vyema tukijikumbusha kanuni kuhusu logo ya sponsor, kanuni zifatwe.

 
Kama ambavyo walitaka kanuni zifuatwe walipokimbia mechi na simba ilipopelekwa mbele vivyo hivyo waheshimu kanuni kwenye nembo maana wao walijitanabaisha kuwa ni watu wa kufuata kanuni wasijewakaanza ooho sijui mbona Man U na team viewer wamefanyaje hapana hatutumii kanuni za Uingereza hapa ila za TFF
 
Kwani kanuni za kuheshimu muda ni za wapi? Hadi ukatae mfano wa Man U
 
Ulishawahi kumuona Twiga mwekundu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toka Pepo La Utopolo Unabanwa Na Kanuni, Sasa Hivi Hamna Ujanjaujanja!!! Nendeni Mkakae Mtafari
Mtavaa Jezi Yenye Twiga Mwekundu Ama Mtacheza Uch*
Haa Haa, Saa Hizi Wameishiwa Pose
 
Toka Pepo La Utopolo Unabanwa Na Kanuni, Sasa Hivi Hamna Ujanjaujanja!!! Nendeni Mkakae Mtafari
Mtavaa Jezi Yenye Twiga Mwekundu Ama Mtacheza Uch*
Haa Haa, Saa Hizi Wameishiwa Pose
Basi Umeanza kuwafahamu Dar es Salaam Young Africans Miaka mitano nyuma baada ya Azam TV kuonesha mechi Live kwenye TV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…